DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

Watu wana akili fupi mno humu,shehe hakusema mange atakufa,alisema mwaka huu ndo mwisho wa kutukana,swali mange anatukana au ameacha kutukana?
Hivi Diamond na Zari hawatukanwi au hao sio watu

NA HII KAULI ILIDHIHIRISHA NINI?

sababu amejihalalishia mwenyewe maangamizi kwa mkono wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaaah
tapatalk_1547918468871.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alhad amesisitiza huu ni mwaka wa mwisho kwa Mange na baada ya mwaka huu hatamtukana mtu yeyote kwa kutumia ulimi au mkono wake kwa sababu amejihalalishia mwenyewe maangamizi kwa mkono wake. Amesema atamshtaki kwenye mahakama ya Mbinguni.
Pole sana Mange Kimambi,Ni kweli mwaka huu umekuwa Kimya sana,nadhani ukimya wako umetokana na habari mbaya ulizozipata July 2019 kwa kugundulika na Cancer ya maziwa(Breast Cancer),pole sana fuata ushauri wa Dr wa kuanza chemotherapy.
 
Shehe kamnyamazisha Mange Kimambi Kama alivyoahidi ahadi yake imetimia.Badala ya kuandamana barabarani atakuwa anaandamana kwenda wodi ya wagonjwa wa kansa ya matiti
 
Sheikh ni noma mwaka 2019 umekuwa mbaya sana kwa Mange,alivyosema sasa anaachana kupigania waTZ kumbe ndio alikuwa anaanza kuumwa,ilipofika july akaenda kupima ndipo alipogundulika na Breast Cancer.
 
Hakuna dua kubwa kama kitita,kama alipokea chake vipi.Maana kila apigae kelele ni njaa inamsumbua akiitwa mezani akaipata shibe hio kelele itoke wapi.Watz wakishaitwa mezani utosikia tena kelele dr slaa,mtatiro,waitara,mkumbo,kafulila,machali,list ni ndefu
 
Warudie tena kumpima watamkuta Ana maradhi mengine zaidi ya huo
 
Kansa hailetwi kwa uchawi wewe.

Mange si mtu wa kunyamazishwa kisa kansa, Mange kala mpunga mkubwa wa Jiwe ili anyuti!
 
Warudie tena kumpima watamkuta Ana maradhi mengine zaidi ya huo
Wewe YEHODAYA hukumbuki juzi tumeambiwa tusipende kuwaombea wengine mabaya kama kigogo2014? Tena tuliambiwa hayo huku tukiburudishwa na wimbo wa Gozbert uimbao "hauwezi kushindana na mwanadamu mwenye kinywa ...."?
Mbona unakuwa mwepesi kusahau? Hukumbuki wiki ile hata mshusha bendera alikaa pembeni ya mlingoti akijiandaa kushusha nusu mlingoti?
Tuombeane afya njema na Mange naye apone haraka ili aendelee na majukumu yake ya kujenga taifa. Au unaona hajajenga taifa? Twende na kauli mbiu ya CCM, kwamba ina maana wapinzani hawajaona zuri lililofanywa na mzee MtuPori wao ni kulaumu tuu? Sasa hats Mange hamjaona jema lolote alilofanya nyie ni lawama tuu?
Mzee MtuPori na Mange mwenye matusi mie naona wanafanana tuu, na ushahidi upo.
 
Hakuna dua kubwa kama kitita,kama alipokea chake vipi.Maana kila apigae kelele ni njaa inamsumbua akiitwa mezani akaipata shibe hio kelele itoke wapi.Watz wakishaitwa mezani utosikia tena kelele dr slaa,mtatiro,waitara,mkumbo,kafulila,machali,list ni ndefu
Fact!!
 
Back
Top Bottom