DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

Eti "najitia strong ila kiroho kinanidunda-
Nimeingia cha kike"
Duu hii balaa sasa
 
hapo ndipo naposhangaa mm huyo Mungu ni wa aina gani anaeenda kumuomba [emoji20]
 
mkuu ulivushwa darasaa aisee maana errors za kutoshaa
SIO;Mamnge
NDIYO;Mange kimambi
Watu kama nyie huwa hamkosekanagi; Kuna haja gani ya kuhusisha darasa na Ishu hiyo? Ungeweza Kusema tu kuwa Sio Mamnge ni Mange Kimambi kuna shida hapo? Ndio maana hata vitu vyenye tija na Taifa huwa mnaingiza siasa kwa Staili hii. Anyway huenda ukawa mfuasi wa Mange.
 
hata Mimi natamani nimtukane huyu musa ili aniloge, kisha tupime kati ya mungu wangu na majini yake, nani ni imara. shiriki shiriki Shiriki tu.
 
Kwa hiyo atamroga na zile pini na viwembe wanavyoweka kwenye sinia? [emoji1]
Poor religious politician
 
UKIMYA NAO NI JIBU TOSHA
 
ataanza musa kabla mange, mark my words.
 
Mwenyezi Mungu anampenda yule ambaye khaki iko upande wake na akaamua kukaa kimya... Na kusamehe ni bora kuliko kisasi kwa wale wanaojua.

Sheikh huyo mpare dunia imemvuruga sasa usimruhusu akuchanganye.
 
Kwani siku hizi uko wapi Dada? Umeanza kukengeuka?

Kama unaongelea chama.. mimi sina kadi ya chama chochote.

Mimi nimshabiki wa JPM

Siku nitakayo chukua kadi ya chama anachoongoza nitakuambia twende pamoja.

Labda hata 2021 itaweza kuwa.. mimi ni mdau tu wa JF.
 
mkuu sina tatizo na wewe pia kuwa mfuasi au kutokuwa mfuasi wa mange haijalishi as long as ni mtanzania mwenzangu.pale unapokuwa [HASHTAG]#mjinga[/HASHTAG] then hutaki kuelekezwa unaelekea kuwa [HASHTAG]#mpumbavu[/HASHTAG].
lengo;kukuelewesha na sio kukukosoa.
 
Kama unaongelea chama.. mimi sina kadi ya chama chochote.

Mimi nimshabiki wa JPM

Siku nitakayo chukua kadi ya chama anachoongoza nitakuambia twende pamoja.

Labda hata 2021 itaweza kuwa.. mimi ni mdau tu wa JF.
Kuna sehemu nimeandika habari za Chama au CCM Coco? Soma vizuri andiko langu.
 
Reactions: BAK
mange anatisha
Anajichimbia kaburi, bahati mbaya taasisi anazocheza nazo sio za kugusa, imajin serikali inamuwinda na taasisi za dini tena uislamu na ukatoliki zinamuwinda. Hizi taasisi tatu huwezi zikwepa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…