popbwinyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,986
- 3,615
Siyo yy tu,sema yy anajiweka wazi ss tunajificha na matusi yetu,Malezi mabovu, anatukana kama mlevi wa gongo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo yy tu,sema yy anajiweka wazi ss tunajificha na matusi yetu,Malezi mabovu, anatukana kama mlevi wa gongo!
Na ya Yona!vyovyote vile... ndio maana kila mtu ana pata wasaa wa kumuomba yeye, hata kama ni mla rushwa, au nyongaji, muuaji... ndivyo inavyo kuwa... jiulize kwanini mapadre wanao najisi watoto mungu hawa angamizi hapo hapo...
mungu wetu ni mwenye huruma, upendo... nk... mungu alitaka kuwa angamiza wana wa israel lakini baadae musa alimuomba hasifanye hivyo na kupelekea kubadili maamuzi yake... rejea pale wana waisrael wakitoka utumwani misri
Umeiona ile ingine mkuu yupo kati ya kikao cha kijani,Ukweli kwamba zile picha alikuwa kwenye kampeni ya Mtulia??
Huyo dadenu kawaroga.
Ime nuiwa hiiInabidi ktk mahubiri na ushauri watoe neno msamaha watumie tu kisasi kwa kila jambo,
Hilo ndo fundisho wanalotupa,inamaana nikikorofiana na mke alonikosea na kuenda kwake kutaka ushauri basi nipewe hukumu na siyo kusamehe,
Sidhani km ametulia kabla ya kusema hili,Na nnawalaumu sana hao mashekhe walio pembeni yake,
Maana walipaswa kumshauri kwanza afundishe na kukataza na kuonya,huenda angebadirika,
Naamini kipo kilichowasukuma siyo bure
Nafikiri wengi wetu hujibu kwa hisia but watukanaji matusi ya nguoni ni wachache.Siyo yy tu,sema yy anajiweka wazi ss tunajificha na matusi yetu,
Kwa hyo mkuu jamaa ana changanya vitu viwiliSasa nikwambie, huyu jamaa licha ya kuwa shehe ila ni "mtoto wa mjini", ana "mbwa" mpaka marekani, jua hilo!
Mkuu tumia akili kidogo,hakuna ushahidi uliothibitika kuwa mtu aliyempiga lissu risasi anajulikana vinginevyo kama unamjua kawasaidie polisi itapendeza sanaa
Ni kweli mkuu, viongozi wetu wa kidini wapo kwa maslahi yao binafsiNi aibu sana kuongozwa na huyu sheikh ambaye hawez kusimamia anachokinena
Ndio ameshindwa kumpuuza.Nadhaniii shehe apuuze tu huyu Dada afanye mishe zake kumijbu hyu Dada ni kumpa kiki ya hatariii mbona anatukan weng hawamjibuuuuu......atumie busara..!