Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 2,255
- 2,825
Lakini wewe ulileta ushirikinaNdio lkn ni Quran. Quran ina elimu pana sana, uumbaji wote wa dunia upo ndani ya Quran. Sayansi yote ya dunia ipo kwenye Quran.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini wewe ulileta ushirikinaNdio lkn ni Quran. Quran ina elimu pana sana, uumbaji wote wa dunia upo ndani ya Quran. Sayansi yote ya dunia ipo kwenye Quran.
Shiriki ni haramu kubwa sana !!Naelewa vijembe unavyotaka kumaanisha. Lakini pamoja na sayansi yote kjwa kwenye Quran imepiga marufuku uchawi.
Shiriki ni haramu kubwa sana !!
Sasa umeaminije kuwa yote yaloandikwa na huyo dada kuwa ni kweli? ... Na hata kama ndivyo .. hapana namna ya ustaarabu ya KUKEMEA ama KUONYA pasi na MATUSI?Mwache awatie adabu hawa waharibifu aisee, tunawaamini kuwa ni watu wa Mungu kumbe ni mafirauni tu!
Umewahi kutishiwa maisha na mtu? Unajua maumivu yake? Huyo mzee Amesema Mange anatukana mwana huu wa mwisho, Unajua alikuwa na maana gani?Sasa umeaminije kuwa yote yaloandikwa na huyo dada kuwa ni kweli? ... Na hata kama ndivyo .. hapana namna ya ustaarabu ya KUKEMEA ama KUONYA pasi na MATUSI?
Ushirikina uliletwa na Mungu ila akauharamisha.Lakini wewe ulileta ushirikina
Paka ya ulozi?Ndio lkn ni Quran. Quran ina elimu pana sana, uumbaji wote wa dunia upo ndani ya Quran. Sayansi yote ya dunia ipo kwenye Quran.
Kayataka mwenyew shehe duh sasa kavuliwa nguo na bado kandanda linaendelea
Nilidhan huna INFO kamili juu kilichotokea ... cause you have the FULL INFO ya kilichotokea .... Swali: Ni nani aloanza kumtukana mwenzie kati ya Mange na Shekhe? ... Ukipata jibu rejea msg yangu ya awali ...Umewahi kutishiwa maisha na mtu? Unajua maumivu yake? Huyo mzee Amesema Mange anatukana mwana huu wa mwisho, Unajua alikuwa na maana gani?
Unategemea mtu amtishie kifo then yy amjibu kistaarabu?
Wacha Sheikh Tito apambane na hali yake, kaliamsha dude mwenyewe!
Sasa huyu anajitangazia kufanya shiriki pia Ni mzinifu hatari sana hafai kuongoza watu !Kweli mkuu, ni haramu hata Quran inaeleza
Hapana hapa busara ni Shekh ni kuomba sluu haya mambo yaishe salama, yule dada katishiwa maisha yake ujue sasa anafanya lolote analojua ili q kweli maneno ya sheikh yakitimia na yeye kajilipizia kisasi. She has nothing to loose,Ningedhan mngemshaur huyo Mange aache MATUSI lingekuwa jambo la BUSARA ... badala yake naona mwazidi kumpa "promo" ili azidi kuendeleza MATUSI ... and you enjoy it ..
Lakini wewe ulileta ushirikina
sasa kwanini unatetea sheikh kutumia kitabu kummaliza mtuKweli mkuu, ni haramu hata Quran inaeleza