DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

Kwa kuwa ameanzisha ligi na mwanasiasa tutajua maouvu yote ya huyu shehe mjanjamjanja
 
Hivi zile busara za viongozi wetu wa dini zimekwenda wapi??haya nimatokeo ya taifa la shilawadu.people like mange they have nothing to loose Ni Bora kunyamaza tu maana watatoa mpaka ya sirini!
 
Mwache awatie adabu hawa waharibifu aisee, tunawaamini kuwa ni watu wa Mungu kumbe ni mafirauni tu!
Sasa umeaminije kuwa yote yaloandikwa na huyo dada kuwa ni kweli? ... Na hata kama ndivyo .. hapana namna ya ustaarabu ya KUKEMEA ama KUONYA pasi na MATUSI?
 
Muungwana akivuliwa nguo huchutama,ajabu waungwana wa siku hizi wao wanafukuza kichaa aliye toroka na nguo zao wakati wanaoga.Tutashindwa kutofautisha
 
Sasa umeaminije kuwa yote yaloandikwa na huyo dada kuwa ni kweli? ... Na hata kama ndivyo .. hapana namna ya ustaarabu ya KUKEMEA ama KUONYA pasi na MATUSI?
Umewahi kutishiwa maisha na mtu? Unajua maumivu yake? Huyo mzee Amesema Mange anatukana mwana huu wa mwisho, Unajua alikuwa na maana gani?

Unategemea mtu amtishie kifo then yy amjibu kistaarabu?

Wacha Sheikh Tito apambane na hali yake, kaliamsha dude mwenyewe!
 
Kayataka mwenyew shehe duh sasa kavuliwa nguo na bado kandanda linaendelea

Kikosi cha chizi fresh kinapiga kandanda ya hali ya juu amepanga kikosi chake vizuri ndio kwanza dakika ya 20 kikosi cha chizi fresh kinaongoza 7 bila shekhe na kikosi cheke dhoofu taabani ngoja tusubiri dakika zilizobaki labda anaweza kupindua matokeo
 
Umewahi kutishiwa maisha na mtu? Unajua maumivu yake? Huyo mzee Amesema Mange anatukana mwana huu wa mwisho, Unajua alikuwa na maana gani?

Unategemea mtu amtishie kifo then yy amjibu kistaarabu?

Wacha Sheikh Tito apambane na hali yake, kaliamsha dude mwenyewe!
Nilidhan huna INFO kamili juu kilichotokea ... cause you have the FULL INFO ya kilichotokea .... Swali: Ni nani aloanza kumtukana mwenzie kati ya Mange na Shekhe? ... Ukipata jibu rejea msg yangu ya awali ...
 
Ha ha ha.. Sheikh alitishia nyau kwa Mange.. Alikosa busara na hekima.. Sasa malipo anayapata hapa hapa duniani..
 
Ningedhan mngemshaur huyo Mange aache MATUSI lingekuwa jambo la BUSARA ... badala yake naona mwazidi kumpa "promo" ili azidi kuendeleza MATUSI ... and you enjoy it ..
Hapana hapa busara ni Shekh ni kuomba sluu haya mambo yaishe salama, yule dada katishiwa maisha yake ujue sasa anafanya lolote analojua ili q kweli maneno ya sheikh yakitimia na yeye kajilipizia kisasi. She has nothing to loose,
 
Back
Top Bottom