Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

Maskini akipata..... ..
 
Hakuna goli la mipango pale, kama ni mipango basi ya refa peter kakuma kuruhusu faulo bila ya kupiga kipenga kama hiyo ndo mipango uko sawa
 
Jamaa wajinga sana.
Walikomaa na refa wakasahau kuwa wapo uwanjani.
Ila refa mkenya alikuwa poa sana
alionesha mapenzi waziwazi kwamba nkana hawajui kurusha

kwamba nkana hawajui faulo yatakiwa kupigwa ikiwa tu refa kapiga kipenga. yale yalikuwa mahaba tangu dk ya 1
 
Simba jana ilistahili kushinda lakini tatizo la beki lipo ndugu Yangu fuatilia vizuri wanavyojipanga wakati wanashambuliwa
Jibu nilivyokuliza..Unaipima beki kwa kosa moja, embu angalia takwimu TPL idadi ya magoli ni machache kuliko timu zote.

Na wakati na Mbabane Swallows goli 8 mbona hamkusema, Kocha ndo mwenye kujua mapungufu sio Kessy wako

By the way hakuna timu ambayo inakamilika asilimia 100% ingekuwa hivyo hakuna kufungana.
 
Hakuna goli la mipango pale, kama ni mipango basi ya refa peter kakuma kuruhusu faulo bila ya kupiga kipenga kama hiyo ndo mipango uko sawa
Hilo soka la kizamani lilikua linatuponza sana Wabongo enzi zile Waarabu walikua wanatusumbua kwenye soka

Eti wachezaji wetu walikua wanasubiri firimbi ya refa tu muda wote wakati warabu ikiwekwa tu faulo wanaanza fasta, wanatufunga na refa anaweka kati, lazima uwena mbinu za kucheza kimataifa jombi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…