Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

Hizi timu ndio simba inatakiwa kushindana nazo, sio hawa wa matopeni. Sasa tupo kwenye ligi inayoendana na sisi.
Alafu zikitokaga takwimu za timu bora afrika Simba ikiwekwaga juu kabisa ya wa matopeni watu wanajiuliza mbona haijashiriki miaka kadhaa kimataifa, inaposhiriki hiki ndio hutokea. Hucheza na timu hizi kubwa sio shirikisho tu.
Maskini akipata..... ..
 
Tusingepata vipi goli wakati mipango ya kulitafuta ilikua inasukwa na wataalam kina Chama na Mkude? Yaani Shadeeya unadhani goli lilikuja kwa bahati nasibu?

Ungeniuliza kabda ya mechi ningekwambia nenda kabeti na kama mkeka ungechanika ningekurudishia mara mia ya ulichoweka
Hakuna goli la mipango pale, kama ni mipango basi ya refa peter kakuma kuruhusu faulo bila ya kupiga kipenga kama hiyo ndo mipango uko sawa
 
Simba jana ilistahili kushinda lakini tatizo la beki lipo ndugu Yangu fuatilia vizuri wanavyojipanga wakati wanashambuliwa
Jibu nilivyokuliza..Unaipima beki kwa kosa moja, embu angalia takwimu TPL idadi ya magoli ni machache kuliko timu zote.

Na wakati na Mbabane Swallows goli 8 mbona hamkusema, Kocha ndo mwenye kujua mapungufu sio Kessy wako

By the way hakuna timu ambayo inakamilika asilimia 100% ingekuwa hivyo hakuna kufungana.
 
Hakuna goli la mipango pale, kama ni mipango basi ya refa peter kakuma kuruhusu faulo bila ya kupiga kipenga kama hiyo ndo mipango uko sawa
Hilo soka la kizamani lilikua linatuponza sana Wabongo enzi zile Waarabu walikua wanatusumbua kwenye soka

Eti wachezaji wetu walikua wanasubiri firimbi ya refa tu muda wote wakati warabu ikiwekwa tu faulo wanaanza fasta, wanatufunga na refa anaweka kati, lazima uwena mbinu za kucheza kimataifa jombi
 
Back
Top Bottom