Wao ambao hawakati upepo mbona hawakushinda?
Simba jana ilistahili kushinda lakini tatizo la beki lipo ndugu Yangu fuatilia vizuri wanavyojipanga wakati wanashambuliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wao ambao hawakati upepo mbona hawakushinda?
Cheka tu Ses na tunapoelekea huu wingi wenu wa leo humu hatutauona tena.
Mnajua kujifariji aisee, sisi tutakuwepo maana ndio machampion wenyewe, nyie ndi mtapoteana kama ilivokua janaCheka tu Ses na tunapoelekea huu wingi wenu wa leo humu hatutauona tena.
Mmebadili chorus tena. Ilikuwa Nkana wanawatoa. Sasa ni waarab. Tutaelewana tu.Wakiendelea hivi watakoma kwa waarab
Usingizi nilioupata ni wa kufa mtu. Nimeshtuka saa 10:30 alfajiri badala ya saa 9.Hivyo hujalala kabisaaa?
Maskini akipata..... ..Hizi timu ndio simba inatakiwa kushindana nazo, sio hawa wa matopeni. Sasa tupo kwenye ligi inayoendana na sisi.
Alafu zikitokaga takwimu za timu bora afrika Simba ikiwekwaga juu kabisa ya wa matopeni watu wanajiuliza mbona haijashiriki miaka kadhaa kimataifa, inaposhiriki hiki ndio hutokea. Hucheza na timu hizi kubwa sio shirikisho tu.
Sidhani kama tunajifariji wakati huo muonekano wa wenzenu mliofuzu nao tu unaonyesha yajayo yanasikitisha.Mnajua kujifariji aisee, sisi tutakuwepo maana ndio machampion wenyewe, nyie ndi mtapoteana kama ilivokua jana
Ewaaaaa. Nilikuwa nishangae usingizi unakosekanaje kwa mfano.Usingizi nilioupata ni wa kufa mtu. Nimeshtuka saa 10:30 alfajiri badala ya saa 9.
Honestly siwezi kupata shida kisa soka/timu.
Hakuna goli la mipango pale, kama ni mipango basi ya refa peter kakuma kuruhusu faulo bila ya kupiga kipenga kama hiyo ndo mipango uko sawaTusingepata vipi goli wakati mipango ya kulitafuta ilikua inasukwa na wataalam kina Chama na Mkude? Yaani Shadeeya unadhani goli lilikuja kwa bahati nasibu?
Ungeniuliza kabda ya mechi ningekwambia nenda kabeti na kama mkeka ungechanika ningekurudishia mara mia ya ulichoweka
Sasa wale tuliofuzu nao ndio kiwango chetu, ndio watu tunaweza kaa nao meza moja..sio kuwafunga Ruvu Shooting halafu mnajiona mna booonge la tmu, hhahahaaSidhani kama tunajifariji wakati huo muonekano wa wenzenu mliofuzu nao tu unaonyesha yajayo yanasikitisha.
GeorDavieSimba hafanyagi makosa haswa anapokuwa nyumbani hvyo Nkana wajiandae kisaikolojia maana naziona si chini ya 3
Vyura bhana, mmeshiriki hayo mashindano mara ngapi mkafikia wapi? Na nyie si mngeloga mfikie japo hata hiyo hatua ya makundi?mnapotafuta ushindi muwe na aibu kidogo
alionesha mapenzi waziwazi kwamba nkana hawajui kurushaJamaa wajinga sana.
Walikomaa na refa wakasahau kuwa wapo uwanjani.
Ila refa mkenya alikuwa poa sana
amewakazaKagere baba
Jibu nilivyokuliza..Unaipima beki kwa kosa moja, embu angalia takwimu TPL idadi ya magoli ni machache kuliko timu zote.Simba jana ilistahili kushinda lakini tatizo la beki lipo ndugu Yangu fuatilia vizuri wanavyojipanga wakati wanashambuliwa
Ubaya wa beki unatoka wapi?Simba jana ilistahili kushinda lakini tatizo la beki lipo ndugu Yangu fuatilia vizuri wanavyojipanga wakati wanashambuliwa
Hilo soka la kizamani lilikua linatuponza sana Wabongo enzi zile Waarabu walikua wanatusumbua kwenye sokaHakuna goli la mipango pale, kama ni mipango basi ya refa peter kakuma kuruhusu faulo bila ya kupiga kipenga kama hiyo ndo mipango uko sawa
usimsahau na refa peter weweru kakuma alifanya kazi kubwaBig up Simba!
Acha ushamba wewe.Hakuna goli la mipango pale, kama ni mipango basi ya refa peter kakuma kuruhusu faulo bila ya kupiga kipenga kama hiyo ndo mipango uko sawa