Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Mikia FC............
Yanga ulicheza makundi mwaka ganiItakuwa wengi hawalijui hilo hakuna jipya pale. Ingekuwa haijawahi kutokea hapo sawa. Tusubiri tuone vigogo watakavyopangiwa navyo.
Yanga ulicheza makundi mwaka ganiYanga ilicheza sana makundi hamna kitu Kipya. Kumtoa Nkana ni mwanzo wa hatua nyingine.
Dada hebu acha hizo Sema Simba tunajua si swala la Bahati [emoji23][emoji23][emoji23]Naona mmejua kujazaana Watani zangu. Haya hongereni ila niseme tu bahati ilikuwa upande wenu na si kingine.
Tulipoteana kivipi...kwenye ile mechi tumewazidi nkana kila kituMmh. Hivi Nkana alinyanyasika kweli. Wakati mwishoni mlipoteana vibaya vibaya. Mshukuruni tu huyo Chama.
Ulichoongea ni kweli mkuu...but nafikiri mwalimu atayafanyia kazi sababu siku za karibuni mabeki wetu wengi wengine walikua majeruhi na wengine hawakuwepo kambini kabisa kutokana na matatizo mbalimbaliLakini kauli ya kocha wa nkana isipuuzwe,
Kasema simba ina tatizo katika beki,
Hilo hata mimi niliona,mabeki wanajisahau hawafanyi marking Nzuri wanazubaa sana ukitaka kuamini angalia goli la kwanza alilofungwa simba jinsi Mohamed Hussein alivyokuwa akimsindikiza mshambuliaji wa nkana hadi amepiga cross.
Chama mwenyewe ndie alianzisha faster akampasia Boko, boko akampasia HD akatisha mwanawani akamcheki chama amekaa wapi akatia cross moja hatari triple C akawapeleka maboya beki na kipaHD nae wa kupongezwa jamani, alimpeleka maboya jamaa hata mimi nikajua atapiga cross raundi ya kwanza kumbe akamtisha jamaa akajaa, akatoa pande kwa chama. In short, hivi vitu eamevifanyia mazoezi! Kuna yule aliyekuwa sharp kuanzisha faulo jamaa wakiwa bado wanashangaa. Hapa ndio tunaona mpira sio kupiga piga tu bali quick thinking.
Naona mmejua kujazaana Watani zangu. Haya hongereni ila niseme tu bahati ilikuwa upande wenu na si kingine.
Nashangaa eti wanakazi ya kuambiana Chama ana akili kwa kufanya alichokifanya wakati inaonyesha dhahiri refa ndio kawabeba.
Bora tuwasaidie chakula wanatia huruma sana, siku hizi jengo la yanga limeguleuzwa shule ya kulala chakula kinapikwa palepale kwa ajili ya wachezaji hata wale mashabiki wa mkopo kwa ajili ya Nkana taifa lambalamba za Bakhresa ndio zimewaingiza uwanjani kushangilia.....Ni Tshs ila kwa sisi sio pesa, ni kuwakilisha nchi inavyostahili. Hii pesa huwa tunaitumia hata kwenye usajili, tena ya usajili inazidi. Pesa hizo tutawasaidia yanga kidogo za usajili na kuendesha timu.
Hahahaaa. Nimecheka ujue mdogo wangu.Dada hebu acha hizo Sema Simba tunajua si swala la Bahati [emoji23][emoji23][emoji23]
hata wangechelewesha saa zima ndo maana kuna dakika za nyongeza (kufidia muda ulio potea) hata wangepoteza lisaa lizima bado kamisaa angeweka lisaa lizimaMkuu lengo la nkana lilikua ni kuchelewesha mda na ndio maana walipofungwa, ghafla wakabadilisha aina ya ulushaji
Refa aliwasoma mapema tu.
hahahaha kumbe tv huwa inaonesha tofauti na hali halisi uwanjaniNkana walikosea mara nyingi mno kurusha mipira, tuliokuwa uwanjani tuliona hayo makosa!
Kessy alikuwa anatumia trick ya kurusha mipira kwenye eneo ambalo siyo mpira ulipotokea...nilimuona kessy vizuri sana alivyokuwa anafanya na wala siyo kwa kuangalia kwa tv kama wewe au kuhadithiwa!
Wanachanganya makundi ya champions ligi na makundi ya shirikisho.Yanga ulicheza makundi mwaka gani
Kasome sheria namba 15 ya fifa ambayo inahusu urushaji wa mpira, halafu uje tena kubwatuka...hahahaha kumbe tv huwa inaonesha tofauti na hali halisi uwanjani
kurushia sehemu isiyo sahihi haifanyi haki kwenda kwa mwingine mkuu.