Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

Wachana na migongo wazi. Goli la Tripple C lazima litakuwa mojawapo ya magoli bora kwenye CAF Champions League.
Unateseka?
Nauliza unateseka?Nunua ndimu upunguze kichefuchefu kwani imeshatunga hiyo.
 
Lakini kauli ya kocha wa nkana isipuuzwe,
Kasema simba ina tatizo katika beki,
Hilo hata mimi niliona,mabeki wanajisahau hawafanyi marking Nzuri wanazubaa sana ukitaka kuamini angalia goli la kwanza alilofungwa simba jinsi Mohamed Hussein alivyokuwa akimsindikiza mshambuliaji wa nkana hadi amepiga cross.
Ulichoongea ni kweli mkuu...but nafikiri mwalimu atayafanyia kazi sababu siku za karibuni mabeki wetu wengi wengine walikua majeruhi na wengine hawakuwepo kambini kabisa kutokana na matatizo mbalimbali
 
HD nae wa kupongezwa jamani, alimpeleka maboya jamaa hata mimi nikajua atapiga cross raundi ya kwanza kumbe akamtisha jamaa akajaa, akatoa pande kwa chama. In short, hivi vitu eamevifanyia mazoezi! Kuna yule aliyekuwa sharp kuanzisha faulo jamaa wakiwa bado wanashangaa. Hapa ndio tunaona mpira sio kupiga piga tu bali quick thinking.
Chama mwenyewe ndie alianzisha faster akampasia Boko, boko akampasia HD akatisha mwanawani akamcheki chama amekaa wapi akatia cross moja hatari triple C akawapeleka maboya beki na kipa
 
Nipo likizo; shemeji yenu ni shabiki wa Yanga. Juzi nilimnunulia dela la njano na nguo za ndani sidiria na lingerie(customized) za njano na nyeusi pia. Nilimpa WARNING, Simba akimtoa Nkana atavaa hilo dera na lingerie na atapata "kipigo" cha mbwa koko huku kavaa hivyo vitu. Kwa kweli ndio nimeamka na rangi hiyo ilinipa mzuka nimepiga show ya uhakika na kafurahi kweli.
 
Hakuna kitu kinaitwa bahati kwenye maisha, maisha ndio yalivyo kila kitu kipo ndani system, km mfumo umekuweka ugongwe na gari utapigwa tu alafu utakufa
Naona mmejua kujazaana Watani zangu. Haya hongereni ila niseme tu bahati ilikuwa upande wenu na si kingine.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Nashangaa eti wanakazi ya kuambiana Chama ana akili kwa kufanya alichokifanya wakati inaonyesha dhahiri refa ndio kawabeba.

Nyie mlikua wapi kubebwa miaka yote hiyo mlipokua mnashiriki[emoji23][emoji23][emoji23]

Raha ya kuwa bingwa wa nchi ni kuwakilisha mashindano ya nje ya nchi vizuri.

Nikumbushe mara ya mwisho mmeingia hatua ya makundi ni lini🤣🤣🤣🤣
 
Eti bahati cheza Biko na wewe ubahatishe. Magoli yote matatu kuna moja la bahati?
Nkana wametupwa nje lakini walioumia zaidi ni migongo wazi.
Punda wa nyuma kachapwa lakini anayepiga mayowe ni punda wa mbele.
Ajabu.
 
Ni Tshs ila kwa sisi sio pesa, ni kuwakilisha nchi inavyostahili. Hii pesa huwa tunaitumia hata kwenye usajili, tena ya usajili inazidi. Pesa hizo tutawasaidia yanga kidogo za usajili na kuendesha timu.
Bora tuwasaidie chakula wanatia huruma sana, siku hizi jengo la yanga limeguleuzwa shule ya kulala chakula kinapikwa palepale kwa ajili ya wachezaji hata wale mashabiki wa mkopo kwa ajili ya Nkana taifa lambalamba za Bakhresa ndio zimewaingiza uwanjani kushangilia.....
 
Mkuu lengo la nkana lilikua ni kuchelewesha mda na ndio maana walipofungwa, ghafla wakabadilisha aina ya ulushaji

Refa aliwasoma mapema tu.
hata wangechelewesha saa zima ndo maana kuna dakika za nyongeza (kufidia muda ulio potea) hata wangepoteza lisaa lizima bado kamisaa angeweka lisaa lizima

ko hoja ya kupoteza muda haina mashiko. mkuu tangu hata nkana ajapata goli refa alianza mahaba ya kusema hawajuu kurusha aseeh
 
Nkana walikosea mara nyingi mno kurusha mipira, tuliokuwa uwanjani tuliona hayo makosa!
Kessy alikuwa anatumia trick ya kurusha mipira kwenye eneo ambalo siyo mpira ulipotokea...nilimuona kessy vizuri sana alivyokuwa anafanya na wala siyo kwa kuangalia kwa tv kama wewe au kuhadithiwa!
hahahaha kumbe tv huwa inaonesha tofauti na hali halisi uwanjani

kurushia sehemu isiyo sahihi haifanyi haki kwenda kwa mwingine mkuu.
 
Kateni rufaa. Inaelekea mmeteseka kuliko hata Nkana wenyewe.Kwani kwenye Press conference kocha wao hajazungumzia lolote kuhusu refa.
Unateseka mkuu. Wasaidie kukataa rufaa.
 
Back
Top Bottom