hapa ulicho jibu ni nini? kufunga ulaya kafunga maradona goli la mkono, kafunga henry goli la mkono kufuzu mashindano makubwa hii haifanyi magoli ya mkono kuwa halali kwenye mipira kwa kuwa tu ulaya yametokea(ujinga wako uko hapa)Nenda youtube ka search quick free kick goal. Itakuonesha. Utagundua unabisha kitu usichokifahamu. Wanafunga ulaya mpira ulikoanzia na sheria itakuwa hapa bongo?
Pole ndo mpira huo.pia utagundua kuwa hukujipanga kulichukia goal la chama
You are a learning disabled, i am done with you!!nilijua unakuja kujibu hoja kumbe unaokota ujinga mtandaoni kuja kusapoti mbeleko
Shida si haraka wala polepole katika upigahi/uanzishaji wa faulo shida ni haki/halali
tizama upya video zako magoli yote yamelalamikiwa (wajua kwa nini) kwamba timu zote ziko slow
ficha mahaba yako
nilijua unakuja kujibu hoja kumbe unaokota ujinga mtandaoni kuja kusapoti mbeleko
Shida si haraka wala polepole katika upigahi/uanzishaji wa faulo shida ni haki/halali
tizama upya video zako magoli yote yamelalamikiwa (wajua kwa nini) kwamba timu zote ziko slow
ficha mahaba yako
yaani mbeleko unaita ndo kufikiri kwa haraka lazima una matatizo wewe!You are a learning disabled, i am done with you!!
Hivi mfungwe sababu ya slow thinking yenu kisha mlalamike?
Ona sasa, unafananisha goli la mkono ambalo refa hakuona kwa bahati mbaya na quick free kick taking ambayo refa yuko hapo hapo, huoni una ussues mkuu? Nakua huwezi kubali kuwa una tatizo ila nakufahamisha kama hujui una tatizo, nakwambia una tatizo.hapa ulicho jibu ni nini? kufunga ulaya kafunga maradona goli la mkono, kafunga henry goli la mkono kufuzu mashindano makubwa hii haifanyi magoli ya mkono kuwa halali kwenye mipira kwa kuwa tu ulaya yametokea(ujinga wako uko hapa)
mie sikujipanga kwa mbeleko ya namna ile ashukuliwe peter weweru
Najua unaumia sana mkuu, ila ndio hivyo. Uliichagua yanga kwa hiari yako, hukuwekewa gobole kichwani uichagua kwa lazima. Hivyo kanywe maji tu mkuu.yaani mbeleko unaita ndo kufikiri kwa haraka lazima una matatizo wewe!
mkuu unazungumza nini nenda youtube kaangalie faulo ngapi za namna iyo (kuanza bila ya ruhusa ya refa zimkataliwa) ilo ni tatizo la refa eidha makusudi (mahaba niue) ama kwa ushawishi wa rushwaTeam kuwa slow ni tatizo la team husika.kulalamika hakuondoi uhalali wa goal.je hayo magoli ni halali au si halali? Kama wachezaji wenu ni slow thats your problm.not universal problem. Magoli yote ni halali.
Kwenye ngumi wanasema protect yourself all the time. Jamaa amekupa uthibitisho si kwetu tu bongo. Hata ulaya yapo magoli kama hayo ni ya kimataifa.😂😂😂
mkuu naumia kuona mbeleko ya wazi wazi kwa mpenda soka yoyote anaumizwa na mbeleko hiiNajua unaumia sana mkuu, ila ndio hivyo. Uliichagua yanga kwa hiari yako, hukuwekewa gobole kichwani uichagua kwa lazima. Hivyo kanywe maji tu mkuu.
hapa ulicho jibu ni nini? kufunga ulaya kafunga maradona goli la mkono, kafunga henry goli la mkono kufuzu mashindano makubwa hii haifanyi magoli ya mkono kuwa halali kwenye mipira kwa kuwa tu ulaya yametokea(ujinga wako uko hapa)
Ee
mie sikujipanga kwa mbeleko ya namna ile ashukuliwe peter weweru
Bado mkuu. Nkana wakiwa chini ya wakili wao Zipompa wamekata rufaa. Rufaa yao inahusu goli la 3 la Tripple C kwamba limefungwa haraka sana. Eti wanadai kanuni haziruhusu ilibidi liwe kwa slow motion.Mechi imeisha?
MKuu bado fuatilia vizuri kwa UmakiniMechi imeisha?
Poa mkuuMKuu bado fuatilia vizuri kwa Umakini
Vyura gani mkuu?Imeisha..Nkana FC wamekubali kuwa wamefungwa na timu bora
Ila kuna Vyura [emoji196][emoji196][emoji196] hawatakiiii
Katika timu zote za africa, simba iko top 16. Wangine mjisort wenyewe nafasi zenu.mkuu naumia kuona mbeleko ya wazi wazi kwa mpenda soka yoyote anaumizwa na mbeleko hii
Bado haijaisha, bado kama dakika ishirini na tano hivi.Mechi imeisha?
AiseHivyo yaniView attachment 975997