Dar: Soko la Mabegi Karume laungua moto alfajiri ya Aprili 8, 2022

Hii inaniumiza sana tumeshafanyiwa mengi mabaya na hawa viongozi wetu ila cha ajabu tumetulia tu sijui tumelogwa.
Inatisha! Can you imagine!!!? Tumefanywaje CCM!??
 
Kama wale mateja hamkuwachukulia hatua mnategemea nini?
Nyani ni wa kucheka nae?
Au stori ya mateja ilikua chai ya rangi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…