Dar: Soko la Mabegi Karume laungua moto alfajiri ya Aprili 8, 2022

Dar: Soko la Mabegi Karume laungua moto alfajiri ya Aprili 8, 2022

Vijana wanjinyima wanapata rizki bado wanachomewa moto mitaji yao, mnataka wawe majambazi?

Wana familia, wana watoto, wana ndugu na jamaa wanawategemea.

Hii nchi ipo siku vijana uvumilivu utawaisha.
Nao hawajifunzi tu kila siku tuwaambia wasiache mtaji wote ndani ya banda awasikii
 
U can do better than this,acha upumbavu mkubwa,JF ni moja ya vyanzo bora vya kuwasiliana ndani ya nchi yetu,humu kuna PS, MPs, Ministers na kuna wapumbavu kama wewe.
Povu ulilo toa limenipa mashaka makubwa juu ya afya yako ya akili
 
Wanataka kujenga soko la kisasa jamani au mnajifanya hamkusikia.
 
Askari wa fire wako bize madukani na majumbani kudai ada na mitungi ya kuzima moto
 
Vijana wanjinyima wanapata rizki bado wanachomewa moto mitaji yao, mnataka wawe majambazi?

Wana familia, wana watoto, wana ndugu na jamaa wanawategemea.

Hii nchi ipo siku vijana uvumilivu utawaisha.
Mbona unailaumu serikali kimtindo kwa hii ajali
 
Watajua wenyewe, acha sisi tuendelee kulamba asali.
 
Watanzania tunaishiaga kulalamika mitandaoni tuhh... Dah.!
Hii inaniumiza sana tumeshafanyiwa mengi mabaya na hawa viongozi wetu ila cha ajabu tumetulia tu sijui tumelogwa.
 
Back
Top Bottom