Dar: Soko la Mabegi Karume laungua moto alfajiri ya Aprili 8, 2022

Dar: Soko la Mabegi Karume laungua moto alfajiri ya Aprili 8, 2022

Muundo wa jeshi la zima moto lazima ubadilishwe liae jeshi la kuzuia na kupambana na majanga, ili wawe wanatwmbelea na kutoa ushauri maeneo hatarishi kabla ya majanga
 
Inasikitisha sana. Nawaza ufanisi wa zile kamati zinazoundwa kila kukicha uko wapi?
 
[emoji3]

Tajiri akisema lala saa 6 mchana unaitikia.
Kinachoendelea Tz tumuombe Mungu tu wanataka kutengeneza tofauti kubwa ya mtajiri na maskini ifike wkt chochote anachosem tajiri unaitika ili uishi wamefeli kwenye chanjo hyo ni njama mupewe mikopo kwa sharti la chanjo dunia hii Rip Magu
 
Acha upotoshaji, vile vibanda vya mabegi vipo zaid ya mita 15 kutoka barabarani
Watu kila kitu wanachukulia kisiasa tu ,sijui wana pata wapi nguvu za kutoa tuhuma wasizo kuwa na ushahidi nazo.
 
Habari za hivi punde Soko la kurume jijini Dar linaungua moto asubuhi hii! Vikosi vya zima moto vimeshafika kudhibiti moto huo! Upande wa wafanyabiashara wa kuuza mabegi vibanda vyao karibia vyote vimeungua! Serkali mjipange hii haikubariki! Mkuu wa mkoa pia ajipange vizuri kuna shida sehemu!
20220408_084407.jpg
20220408_084417.jpg

Hii mioto hadi raha sasa.. Utafikiri inaambizana leo tukachome wapi!

Bila kuwa na mipango mkakati makini hii mioto itaendelea na itakuwa business as usual mpaka pale itakapomaliza huki na kupiga kule kwenye chembe ya moyo..!
Kuna ndege anakunya moto, hata kwenye Quran ameandikwa.😄😄
 
Nchi yeti bado imetawaliwa na sera za ubinafsi na kuoneana tu why kila siku wamachinga, why kila siku masoko ya wafanya biashara wadogo wadogo, any way Kuna siku Mambo yatabadilika..........[emoji1241][emoji1241]
 
Habari za hivi punde Soko la kurume jijini Dar linaungua moto asubuhi hii! Vikosi vya zima moto vimeshafika kudhibiti moto huo! Upande wa wafanyabiashara wa kuuza mabegi vibanda vyao karibia vyote vimeungua! Serkali mjipange hii haikubariki! Mkuu wa mkoa pia ajipange vizuri kuna shida sehemu!

IMG_20211029_105959.jpg
 
Kuliko kuwachomea si bora wawaambie ukweli tu kuwa kuna mwekezaji anataka kujenga maghorofa mapya ya Masoko pale!!na wafanyabiashara wataelewa tu!!
 
Back
Top Bottom