Dar: Soko la Mbagala laungua moto

Nina mashaka na hizi kamati.

Kama zinafanya kazi ipasavyo ni vipi zimeshindwa okoa masoko yanayoendelea kuungua?

Hizi kamati ndiyo utasikia watu wanalipwa 100K+ per sitting wakati hata waziri husika akijifungia ofisini akakaa kikao na vijana walio field watampa njia za kujikinga na haya majanga.

Na hao vijana wataondoka wakiwa na furaha wamesaidia ofisi.
 
Kamati hazitasaidia kitu kaka.

Ccm iwe serious na iboreshe miundombinu ya zimamoto. Ajali hainaga kinga!
 
Uchafu kwenye masoko ndio unaosababisha moto, nyanya, karoti, matikiti maji, kabichi na pilipili haviwezi kusababisha moto hata siku moja.
 
Nilipita huko Twitter nikaona kigogo kaandika Cdm yaani Pambalu na wenzake ndo "wanachoma" masoko.!

Anyway pole kwa wafanyabiashara wote!
Wanaleta mtafaruku nchi isitawalike, haya magaidi yashughulikiwe bila huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…