Francis Mawere
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 958
- 831
Ni nini Kipo Nyuma ya Pazia??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo yanayoungua ni magulio, siyo masoko uliyoyasomeaYaani mtu upo chuoni unasomea kusimamia masoko, halafu masoko yenyewe yanaungua daily nitasimamia sasa?
Kamati hazizimi moto.Kamati ndio zinazima? Au kuwasha moto?
Kamati hazizimi moto.
Kamati haziwashi moto.
Zinakutana kuchunguza chanzo cha moto.
Katika kukutana kwao hua wanawasilisha ripoti.
Ripoti itakua imebaini chanzo, itaongelea vitu kama hasara iliyosababishwa, itaonyesha nani mzembe katika tukio zima na itaongelea pia mbinu za kuzuia tukio kama hilo kujirudia.
Kwahiyo inatarajiwa ripoti ya kamati iwe nusu na robo ya mwarobaini kwa janga kama hilo hapo baadaye.
Kuna kamati ilikaa baada ya soko la Kariakoo kuungua, tukaambiwa imepeleka ripoti kwa waziri mkuu.
Tangu ripoti ipelekwe kwa waziri mkuu soko la Boma limeungua, Moshi kuna soko limeungua na leo tuna Mbagala.
Sielewi swali lako lililenga kunionyesha hauwezi kufikiria au una shida nyingine.
Mlinzi nambari wani wa soko ni mfanyabishara wa pale sokoniKamati hazizimi moto.
Kamati haziwashi moto.
Zinakutana kuchunguza chanzo cha moto.
Katika kukutana kwao hua wanawasilisha ripoti.
Ripoti itakua imebaini chanzo, itaongelea vitu kama hasara iliyosababishwa, itaonyesha nani mzembe katika tukio zima na itaongelea pia mbinu za kuzuia tukio kama hilo kujirudia.
Kwahiyo inatarajiwa ripoti ya kamati iwe nusu na robo ya mwarobaini kwa janga kama hilo hapo baadaye.
Kuna kamati ilikaa baada ya soko la Kariakoo kuungua, tukaambiwa imepeleka ripoti kwa waziri mkuu.
Tangu ripoti ipelekwe kwa waziri mkuu soko la Boma limeungua, Moshi kuna soko limeungua na leo tuna Mbagala.
Sielewi swali lako lililenga kunionyesha hauwezi kufikiria au una shida nyingine.
Bado tunarun haya masoko kijima na kizembe sanaKama chanzo cha moto kwenye masoko mengi wote tunajua ni either uzembe wa wapishi ndani ya soko kuzima moto,kuunganisha umeme kihuni, uvutaji sigara na bangi ndani ya soko
Jinsi ya kuzuia
Jenga masoko high standard ili hizi kero zisiwepo ila ubaya hakuna ataekubali sasa
Yaungue tuu Ili wayajenge vizuri.Soko la Rangitatu jimbo la Mbagala lawako moto usiku huu wa kuamkia leo.
View attachment 2117914View attachment 2117915View attachment 2117917
View attachment 2117944
Yaungue tuu Ili wayajenge vizuri.Soko la Rangitatu jimbo la Mbagala lawako moto usiku huu wa kuamkia leo.
View attachment 2117914View attachment 2117915View attachment 2117917
View attachment 2117944
Hlo soko Lina mda gan and why this time?Mbagala hakuna soko ule ni uchafu ni kiangazi lakini muda wote soko linanuka matope kila sehemu'ikifika masika ndio balaa.halafu wanajiunganishia umeme kiholela sana utakuta waya unaelea kwenye maji wala habari hawana.
Halmashauri sijui zinafanya kazi gani
... ule mpango wa kuleta taharuki umeanza rasmi au sio?Nilipita huko Twitter nikaona kigogo kaandika Cdm yaani Pambalu na wenzake ndo "wanachoma" masoko.!
Anyway pole kwa wafanyabiashara wote!
Daaaa nooma sanaSoko la Rangitatu jimbo la Mbagala lawako moto usiku huu wa kuamkia leo.
View attachment 2117914View attachment 2117915View attachment 2117917
View attachment 2117944
Yaungue tu wayajenge vizurikuna jambo nyeti juu ya hii issue, sio hali ya kawaida. Kuna mahala tunachezeana.
Dah.....huu Ni muda muafaka wa Mama kung'atuka mwenyewe🤣🤣🤣🤣Soko again