Dar: Soko la Mbagala laungua moto

Dar: Soko la Mbagala laungua moto

Kamati ndio zinazima? Au kuwasha moto?
Kamati hazizimi moto.

Kamati haziwashi moto.

Zinakutana kuchunguza chanzo cha moto.

Katika kukutana kwao hua wanawasilisha ripoti.

Ripoti itakua imebaini chanzo, itaongelea vitu kama hasara iliyosababishwa, itaonyesha nani mzembe katika tukio zima na itaongelea pia mbinu za kuzuia tukio kama hilo kujirudia.

Kwahiyo inatarajiwa ripoti ya kamati iwe nusu na robo ya mwarobaini kwa janga kama hilo hapo baadaye.

Kuna kamati ilikaa baada ya soko la Kariakoo kuungua, tukaambiwa imepeleka ripoti kwa waziri mkuu.

Tangu ripoti ipelekwe kwa waziri mkuu soko la Boma limeungua, Moshi kuna soko limeungua na leo tuna Mbagala.

Sielewi swali lako lililenga kunionyesha hauwezi kufikiria au una shida nyingine.
 
Kama chanzo cha moto kwenye masoko mengi wote tunajua ni either uzembe wa wapishi ndani ya soko kuzima moto,kuunganisha umeme kihuni, uvutaji sigara na bangi ndani ya soko
Jinsi ya kuzuia
Jenga masoko high standard ili hizi kero zisiwepo ila ubaya hakuna ataekubali sasa
 
Mlinzi nambari wani wa soko ni mfanyabishara wa pale sokoni

Itakapofika siku wakaanza kuweka miundombinu stahiki, kuheshimu minimum requirements, kuwajibishana na kubeba jukumu kuu la soko tutatoboa

Kamati kazi yao ni postmortem tu
 
Kama chanzo cha moto kwenye masoko mengi wote tunajua ni either uzembe wa wapishi ndani ya soko kuzima moto,kuunganisha umeme kihuni, uvutaji sigara na bangi ndani ya soko
Jinsi ya kuzuia
Jenga masoko high standard ili hizi kero zisiwepo ila ubaya hakuna ataekubali sasa
Bado tunarun haya masoko kijima na kizembe sana

Ukiwa mule ndani unaweza kukuta kila aina ya hatari inaendelea

Time to change
 
Mbagala hakuna soko ule ni uchafu ni kiangazi lakini muda wote soko linanuka matope kila sehemu'ikifika masika ndio balaa.halafu wanajiunganishia umeme kiholela sana utakuta waya unaelea kwenye maji wala habari hawana.
Halmashauri sijui zinafanya kazi gani
 
Hlo soko Lina mda gan and why this time?
 
Nilipita huko Twitter nikaona kigogo kaandika Cdm yaani Pambalu na wenzake ndo "wanachoma" masoko.!

Anyway pole kwa wafanyabiashara wote!
... ule mpango wa kuleta taharuki umeanza rasmi au sio?
 
kuna jambo nyeti juu ya hii issue, sio hali ya kawaida. Kuna mahala tunachezeana.
 
Wana JF
Nimepata taarifa ya kustua lakini natafuta picha za tukio hili.

Soko la Mbagala Rangi Tatu limeungua moto, inaonesha hakijatekeketa lote kama ilivyotokea la Karume Ilala. Taarifa hii niliipata kama swali kupitia tweet ya Maria Sarungi akitafuta kufahamu nini kinaendelea hapo...

Nimemuuliza jamaa yangu ambaye ni ofisa wa Zimamoto Bandarini na hiki ndicho alichonijibu "Yeah moto ulianza around saa 10 usiku na mida hii ndio wanamalizia kuzima"

Naelekea eneo la tukio kupata picha za kinachoendelea.

MY TAKE
Je hii trend inayomfuata mkuu wa Mkoa ya kuungua ungua masoko inaangaliwa kwa macho ya udadisi kweli?

SWALI
Hali ya uchumi itaendelea kuwa stable kwa hii hali ya kuathirika kwa moto, maeneo yanayosapoti mzunguko wa fedha?
 
Da why iwe hivi kila mwezi?
Usalama wa nchi msiwe ni usalama wa viongozi ni usalama wa wananchi na mali zetu.
Mnalipwa na mnaishi kwa kodi zetu hebu badilikeni,
Nchi ni kama haina wasomi wa bima, ilipaswa hizo biashara zikatiwe bima ili zikiungua walipwe na bima.
Haiwezekani walinzi wa masoko yetu waajiliwe na uongozi wa soko na kuchukuliwa mababu waliostaafu ndio wawe walinzi.ambao hawana tahadhari za kutosha za moto.
Lakini mpaka moto uwe mkubwa pana shida mahali mliosoma risk na bima IFM wafundusheni jamii.
 
Back
Top Bottom