Dar: Soko la Mbagala laungua moto

Dar: Soko la Mbagala laungua moto

Moto ni kwenye masoko tu tena mfululizo tena ni dar tu usiku tu

Noma sana
 
Kuna dalili mbaya hapa hii hali sio yakawaida.
 
Hizi ni ujuma ya wazi kabisa aiwezekeni moto uunguze masoko tuu tena siku ni zilezile jumamosi kuamkia jpili.
 
Wajitafakari.....kuna uzembe mahali...anzia connection umeme....usiku kucha wanaacha vitu vinatokota....etc
Hapana hapa pana mkono mrefu, kwani tume ya kariakoo na ile ya karume wameishatoa mrejesho[emoji41]
 
Sasa imekuwa zaidi, kila siku masoko yanaungua
Pita maeneo ya masoko holela jioni kigiza ndio kimeanza , utagundua Kila machinga ni fundi wa umeme, taa zinaungwa Ili mradi mwanga haijalishi, tahadhari yoyote wala usalama Nini ni, halafu tunalia ajira hakuna, wakati ntu yeyote anaweza kufanya kazi yoyote, hivyo nategemea hata pale moto unapowaka kila ntu afanye KAZI ya zimamoto hivyo masoko yasingeungua🏋️.Kila kazi mpe chinga na sii kazi ngumu apewe nyamwezi, Sasa tupewe chinga.
 
Back
Top Bottom