Dar: Soko la Mbagala laungua moto

Dar: Soko la Mbagala laungua moto

Nadhani kamati zinazoundwa wanazingua tu,Makala baada ya lile la Karume alisema ni teja......saizi sijui atakuja na hoja gani tena
 
Nadhani kamati zinazoundwa wanazingua tu,Makala baada ya lile la Karume alisema ni teja......saizi sijui atakuja na hoja gani tena
 
Mara mia basi uwaambie wapishe mfanye huo unaouita ujenzi kuliko kuwaunguzia watu mali zao,
Basi chinga nao wasiwe wakuchungwa kama mbuzi, pengine hayo Yana gharama , pengine gharama ya hama ya lazima ni nafuu kuliko hama ya hiari🏃.
 
waliochoma moto wamevamia mitandao ya kijamii , kuhakikisha wanaaminisha watu kitu tofauti..
 
Mbagala hakuna soko ule ni uchafu ni kiangazi lakini muda wote soko linanuka matope kila sehemu'ikifika masika ndio balaa.halafu wanajiunganishia umeme kiholela sana utakuta waya unaelea kwenye maji wala habari hawana.
Halmashauri sijui zinafanya kazi gani
Nyie ndio mliochoma
 
Mana ukienda kwnye soko la karume ssa hiv njia za kupita wa2 na mizigo zimekuwa kubw na mm ndo nilicho kiona kipya

Masoko yote huwa wanaachia sehemu kubwa tu kwa ajili ya kupitisha mizigo na hata kwa dharura kama moto
Sasa baadae ndio unakuta watu wanajenga mpaka panabaki kichochoro tu

Halafu Mkuu wa Mkoa anaanza kulalamika tena kuhusu miundombinu duni wakati yupo hapo na kusubiri janga litokee ndio aongee tena

Kwanini asiagalie masoko yote kama yana njia za kupita hata magari ya zimamoto? Kwanini wasubiri majanga ndio waanze ooh Tume
 
Pita maeneo ya masoko holela jioni kigiza ndio kimeanza , utagundua Kila machinga ni fundi wa umeme, taa zinaungwa Ili mradi mwanga haijalishi, tahadhari yoyote wala usalama Nini ni, halafu tunalia ajira hakuna, wakati ntu yeyote anaweza kufanya kazi yoyote, hivyo nategemea hata pale moto unapowaka kila ntu afanye KAZI ya zimamoto hivyo masoko yasingeungua🏋️.Kila kazi mpe chinga na sii kazi ngumu apewe nyamwezi, Sasa tupewe chinga.
Hapo umenena vyema, wakati wa jioni huwa wanaunganisha nyaya ili wapate mwanga na ni vema wangekuwa wanatumia taa zenye mionzi ya jua (solar lamps)
 
nashauri uchunguzi uwe unaanzia na wafuasi wa Gaidi Mboe.
wafuasi wake ni watu waovu na wahalifu.
kamateni hawa wahuni, mkiwabana mbavu lazima watatajana tu.
haya ndio mambo aliyo kuwa anawafundisha mwenyekiti wao.
 
Back
Top Bottom