Dar: Soko la Mbagala laungua moto

Pole kwa wafanyabiashara wote, waliounguliwa na bidhaa zao, Mamlaka husika zijitafakari na zichukue hatua stahiki kutatua changamoto ya moto kwenye masoko yetu.

Manispaa ya Temeke, ifikirie kuwakopesha, mikopo isiyo na riba waathirika wote, kutoka kwenye bajeti ya asilimia 10, ya vijana,wanawake na walemavu.
 
Kuna hizi kamati zilizoundwa, Je, katika kazi yao zinatoa mapendekezo yoyote? Kwanini hatuoni kupungua kwa haya matukio?
 
Hao mateja warudi na kwenye vyoo vyetu vya nyasi wachome na tusiruhusiwe kuvitengeneza hadi pale sirikali itapotujengea vyoo vya kisasa
 
Kamati ndio zinazima? Au kuwasha moto?
 
Kamati hazitasaidia kitu kaka.

Ccm iwe serious na iboreshe miundombinu ya zimamoto. Ajali hainaga kinga!
Kuboresha miundombinu kama ulivyoshauri ni miongoni mwa kinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…