CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,474
That is what you are saying.Inawezekana.
Lakini usidharau kabisa mfumo wa usalama wa Tanzania kwa sasa una uwezo mkubwa wa kunasa kila kitu ndani na nje ya mipaka.
Polisi wanafuata maagizo ya intelligence na mashine nzima ya ulinzi na usalama ili Tanzania iwe salama..
Mkuu wanauzi sana hawa. Pole nisamehe bure!Kuita wenzako mbwa kisa tu wanaamini au kua na mitazamo tofauti na wewe si sawa...
Hamna mwananchi wa kawaida anayeshangilia huu udhalimu..wanaoshangilia wana agenda zao na wanafaidika na hali ilivyo! Ni kukosa uzalendo kwa taifa tu na tutakuja kujuta siku si nyingiHivi mwananchi wa kawaida anaposhangilia udhalimu kama huu, huwa anafaidika na nini hasa?!
Hivi mtu na akili zako kweli unaweza kushangilia udhalimu dhidi ya binadamu just for political reason?!
Oh, nimekumbuka! Kumbe wapo wale walioshangilia hata alivyopigwa risasi na kutamani eti angekufa kabisa!!
Mungu samehe kizazi hiki kisichojielewa manake kama maadui wa kweli wa taifa basi hawa ndio maadui namba, wanaoweka mbele maslahi ya kisiasa kuliko kitu kingine chochote kile!!
Naona unajaribu kuuza uoga behind your keyboard and device screen..tukuone wa zamani sio? Wale wa JKT halisi bragging ni mwiko.Mimi najivunia kuwa mtanzania mkuu.
Nilipitia JKT ya enzi hizo si hii ya sasa ya miezi 3 au 6
Nilikaa JKT miezi 9 baada ya hapo Monduli nikala nyota zangu na baadae kuingia uraiani.
Likizuka leo naingia kazini kulinda nchi yetu mimi na wewe.
Nikifa vitani ni mapenzi ya Mungu.
Hivi wafahamu leo hii patriots wameongekeza kule USA khasa kipindi hichi cha uchaguzi?
Kuna sababu.
Kati ya marais watakaokuja kukumbukwa kwa mabaya zaidi kuliko mazuri. Fortunately yeye mwenyewe analijua hilo ndio maana anakazana kujenga vitu na kununua vitu ili watu wakiviona wamkumbuke ila hajui kuwa material things ni vyakupita tu real legacy haijengwi kwa material things.Hivi CCM mlimtoa wapi huyu rais anayedhalilisha legacy ya utawala bora wa Taifa letu?
Acha hizo mkuuSendiga ndiyo nani mkuu?
Mpuuzi sana huyo jamaa, si ana tiketi ya kurudi ulaya, aende tu huko kwa mabwana zake. Asituvurugie mipango ya maendeleo.😡Wakati wamemkamata mbele ya hao mabeberu, yamebaki yanatoa macho tu.
Lissu muoga sana, sasa ndio nini kukimbilia ubalozini?
Kama unaamini polisi wanaotembea na Ilani ya ccm nimejilidhisha naoongea na mtu wa namna gani pole sanaSasa ukiniuliza evidence anaeonekana mjinga hapa ni nani?
Mimi kama raia naamini maelezo ya polisi na natambua wanafanya kazi yao na kama mlipa kodi nawalipa mshahara kuhakikisha usalama wa raia wa Tanzania na mali zao.
Polisi wanapotoa taarifa kwenye vyombo vya habari wadhani wana lengo gani?
Sasa hata kule France yule kijana aliechinja watu alipohojiwa si alitaja watu wengine walopanga nae uhalifu.
Sasa polisi walipokwenda kukamata watu wengine watatu walotoa wapi ushahidi?
Zitto na Upinzani wali na wapi? Alishatimia siku nyingi na ana kinyongo kisichoisha na Chadema.Zito akamatwi usikute yeye ndio anawachomesha wenzie, Sinaga Imani nae sijui kwanini
Jina:King Mkwezere Mapokopokomanjali mjukuu wa Ibilisi.Yani wewe kama mwanaume weka jina lako na picha halisi tukujuwe
Its not about bragging is about being proud.Naona unajaribu kuuza uoga behind your keyboard and device screen..tukuone wa zamani sio? Wale wa JKT halisi bragging ni mwiko.
Kijiji cha namtumbo.Tutangazie pia nawe sehemu yako ilivyohamishwa wakati unasajiliwa lb7