Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Tunajua amekamatwa akiwa mzima wa afya na arudi kama alivyokamatwa,tofauti na hivyo patachimbika.
 
Reactions: PNC
Hahahahah

Kama kweli vile!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kwa sababu walikwisha sema watampiga sindano ya sumu,huu sasa utakuwa ni wakati mwafaka kwao.
Ila wakumbuke,jaribio lolote la kumuua litasababisha mauaji makubwa sana katika nchi hii,na Jiwe atafanyiwa alichofanyiwa rais wa Irak hayati Sadam Husein
 
Sasa nasema Kama mungu haishivyo, Bora wananchi wote watuweke ndani ,hii hakubaliki ,hakubaliki ,haikubaliki haikubaliki nchi yetu wote
MAMBO GANI MNAFANYA LAKINI AU NDO MWISHO WA TZ UNAKUA, HAIKUBALIKI, HAIKUBALIKI
Sikutegemea kama humu JF kuna watu wenye akili ndogo hivi!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana, akabidhi passport yetu, kibali chetu cha uwakili Tanzania.

mnashangilia udikteta si punde hata huu mtandao tutafungiwa ushabiki ni mbaya sana. Sasa wakiona wananchi hawathamini kura zao ndiyo watafanya kila kitu bila lufuata sheria au misingi yeyote.
 
Kila wazo au maoni tofauti na ninyi ni ujinga na takataka hivyo tuvumiliane tu hivyohivyo.

Hata tungekuwa darasani na ukagundua Richard ni mjinga si wapotezea tu?
Proffessorial rubbish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…