Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Umeamua kuwa msemaji wa serikali? Au wamekutuma uwasemee?
 
Tushukuru tu hawa jamaa wapo busy na uchaguzi. Ingekuwa miaka 2 ndani ya utawala wao hivi saa hizi tunatafutana.
 
Takataka from CCM
 
Aisee. Lastly, utakatishaji fedha, uhujumu uchumi, ugaidi= No bail=Endless Investigation=Lifetime Imprisonment=This is Tanzania
BOT wametumia huu uonevu kuwapora wafanyabiashara wakubwa na wadogo pesa zao wanazotumiwa toka nje mpaka wengi wakaamua kwenda kufungua A/C kenya Uganda Zambia ambapo Benk kuu za huko hawana usumbufu wala kuwadhulumu watu pesa zao kwa njia haramu kama BOT
 
BoT na na personal account wapi na wapi?
 
Leo unamkana msukuma mwenzako uliyekuwa unampigia debe wewe na Mwanakijiji ????
Nani aliandika hii mada mwaka 2016?

 
I'm not displaying anything, I'm replying to what other members are asking.
Namna ya uandishi wako inaonyesha you lack a very basic human character "Msimamo" I sincerely told you in my past reply "I will keep (that particular post) in my Vaults"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…