Taarifa za hivi punde ni kuwa Vyombo vya Dola jijini Dar vinamshikilia Ndg. Tundu A. Lissu.
Lissu amekamatwa muda mchache uliopita jijini Dar akiwa ameenda Ubalozi wa Ujerumani (amekamatiwa mbele Jengo la Umoja House).
Huu ni mwendelezo wa kukamata viongozi wa CHADEMA na ACT Wazalendo.
======
UPDATE: 1950hrs
Lissu pamoja na wote aliokuwa nao wameachiwa bila masharti yoyote
Jamani napinga hili la Lissu kuachiliwa baada ya kukamatwa.....nakata rufaa. Huyu mtu inabidi arudishwe jela tu. Hana tena thamani kwetu kwani tumeshamchagua rais tumtakaye.Taarifa za hivi punde ni kuwa Vyombo vya Dola jijini Dar vinamshikilia Ndg. Tundu A. Lissu.
Lissu amekamatwa muda mchache uliopita jijini Dar akiwa ameenda Ubalozi wa Ujerumani (amekamatiwa mbele Jengo la Umoja House).
Huu ni mwendelezo wa kukamata viongozi wa CHADEMA na ACT Wazalendo.
======
UPDATE: 1950hrs
Lissu pamoja na wote aliokuwa nao wameachiwa bila masharti yoyote
Kwanza kabisa hujajibu swali nililo kuuliza. Uungwana na umakini ni kujibu swali ulilo ulizwa kisha unauliza swali.Unataka kuwapangia shughuli za kufanya?
You are not proud of the country you are proud of the totalitarian regimeIts not about bragging is about being proud.
I'm proud of my country.
Vijana wanatakiwa waseme "they are proud of their country".
F UJamani napinga hili la Lissu kuachiliwa baada ya kukamatwa.....nakata rufaa. Huyu mtu inabidi arudishwe jela tu. Hana tena thamani kwetu kwani tumeshamchagua rais tumtakaye.
Naomba unipatie mkuu.Huyo ni ccm na aliandaliwa mahususi, au na hilo hulijui pia nikupe data zaidi kuhusu huyo dada?
Nimejibu.Kwanza kabisa hujajibu swali nililo kuuliza. Uungwana na umakini ni kujibu swali ulilo ulizwa kisha unauliza swali.
Pili, umeuliza swali ambalo halina munasaba. Hapa kuna tatizo.
Tatu, hakuna mtu ambaye hana shughuli ya kufanya.
Nne, mtu anapotaka kuleta ujinga lazima aadabishwe. Lakini kingine ndiyo maana mfumo wa demokrasia siupendi bali ni mfumo wa kishetani. Tangu dunia inaumbwa sheria timilifu hakuna kulea ujinga, mtu yeyote ambaye ni mchochezi katika dola, stahiki yake ni adhabu kali au zaidi ya hapo.
Tano, leo hii nikikuuliza kwani lazima hao wawe viongozi ?
Kawapora Nchi na bado anatumia Polisiccm kuwanyanyasa kuwabambikia kesi kesi uonevu mwingi
Si mlemavu!Wameshamwachia, tena bila masharti!
Mambosasa jana katengeneza tuhuma feki apate kisingizio cha kuwabambikia kesi viongozi wa ACT na chadema, ni Ajabu maandamano ya Amani kuogopwa na Polisiccm mpaka kujiingiza kwenye propaganda za kishamba na kishetani.Vitu vingine ni vya kishamba sana.
Au na Lissu nae alikuwa akiandamana na kupanga kulipua miundombinu, according to Mambosasa?
Ni kweli wapo wanufaika wa mfumo but amini usiamini, majority ya hawa wa JF ni malofa wenzetu tu wasio na mbele wala nyuma, huku wakiwa wanaishi kwenye chumba kimoja cha kupanga Uswahilini na choo cha nje!!!Hamna mwananchi wa kawaida anayeshangilia huu udhalimu..wanaoshangilia wana agenda zao na wanafaidika na hali ilivyo! Ni kukosa uzalendo kwa taifa tu na tutakuja kujuta siku si nyingi
Mjinga huyo hawezi kuelewaWamemwachia bila masharti. Umesikia hiyo?
Kule mtwara Polisiccm hufanya kazi masaa mangapi?Mbona Queen Sendiga hajakamatwa?
Na bado. Wako kama mahayawani, tangu lini wakajifunza?Wanakosea sana.
Magufuli anajiharibia mno.
Kulitokea nini?Vyombo vya usalama huwa wanafanya kazi masaa 24. Kama kuna njama mbaya walikuwa wanafanya mnataka wasikamatwe?
Kule mtwara Polisiccm hufanya kazi masaa mangapi?
Unafikiri nani kapanic kati yangu na nyinyi?Mbona umepanic kama malaya wa kona bar katapeliwa?
Ulisemalo ni la jhakika hao wapo wengi mno humu na huku mtaani tunapoishi.Ni kweli wapo wanufaika wa mfumo but amini usiamini, majority ya hawa wa JF ni malofa wenzetu tu wasio na mbele wala nyuma, huku wakiwa wanaishi kwenye chumba kimoja cha kupanga Uswahilini na choo cha nje!!!
Wengine hata kazi zenyewe hawana, yaani mabwege tu huku wengine kwavile Rais ni Ngosha na wao ni Ngosha, ndo basi tena... wanachukulia ni urais wa akina Ngosha na kwahiyo wana wajibu wa kumtetea Ngosha mwenzao hata kwa mambo ya kijinga!!!