Taarifa za hivi punde ni kuwa Vyombo vya Dola jijini Dar vinamshikilia Ndg. Tundu A. Lissu.
Lissu amekamatwa muda mchache uliopita jijini Dar akiwa ameenda Ubalozi wa Ujerumani (amekamatiwa mbele Jengo la Umoja House).
Huu ni mwendelezo wa kukamata viongozi wa CHADEMA na ACT Wazalendo.
======
UPDATE: 1950hrs
Lissu pamoja na wote aliokuwa nao wameachiwa bila masharti yoyote
Wanachokitafuta watakipata. Waache waendelee kujidanganya kuwa maandamano hayakuungwa mkono na kina Mbowe ni magaidi.