Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Taarifa za hivi punde ni kuwa Vyombo vya Dola jijini Dar vinamshikilia Ndg. Tundu A. Lissu.

Lissu amekamatwa muda mchache uliopita jijini Dar akiwa ameenda Ubalozi wa Ujerumani (amekamatiwa mbele Jengo la Umoja House).

Huu ni mwendelezo wa kukamata viongozi wa CHADEMA na ACT Wazalendo.

======
UPDATE: 1950hrs

Lissu pamoja na wote aliokuwa nao wameachiwa bila masharti yoyote

Wanachokitafuta watakipata. Waache waendelee kujidanganya kuwa maandamano hayakuungwa mkono na kina Mbowe ni magaidi.
 
Taarifa za hivi punde ni kuwa Vyombo vya Dola jijini Dar vinamshikilia Ndg. Tundu A. Lissu.

Lissu amekamatwa muda mchache uliopita jijini Dar akiwa ameenda Ubalozi wa Ujerumani (amekamatiwa mbele Jengo la Umoja House).

Huu ni mwendelezo wa kukamata viongozi wa CHADEMA na ACT Wazalendo.

======
UPDATE: 1950hrs

Lissu pamoja na wote aliokuwa nao wameachiwa bila masharti yoyote
Jamani napinga hili la Lissu kuachiliwa baada ya kukamatwa.....nakata rufaa. Huyu mtu inabidi arudishwe jela tu. Hana tena thamani kwetu kwani tumeshamchagua rais tumtakaye.
 
Unataka kuwapangia shughuli za kufanya?
Kwanza kabisa hujajibu swali nililo kuuliza. Uungwana na umakini ni kujibu swali ulilo ulizwa kisha unauliza swali.

Pili, umeuliza swali ambalo halina munasaba. Hapa kuna tatizo.

Tatu, hakuna mtu ambaye hana shughuli ya kufanya.

Nne, mtu anapotaka kuleta ujinga lazima aadabishwe. Lakini kingine ndiyo maana mfumo wa demokrasia siupendi bali ni mfumo wa kishetani. Tangu dunia inaumbwa sheria timilifu hakuna kulea ujinga, mtu yeyote ambaye ni mchochezi katika dola, stahiki yake ni adhabu kali au zaidi ya hapo.

Tano, leo hii nikikuuliza kwani lazima hao wawe viongozi ?
 
Nimejibu.

Sema hujaelewa.
 
Watanzania hatuna utu kabisa niasili yetu, mimi sishangai.
 
Vitu vingine ni vya kishamba sana.

Au na Lissu nae alikuwa akiandamana na kupanga kulipua miundombinu, according to Mambosasa?
Mambosasa jana katengeneza tuhuma feki apate kisingizio cha kuwabambikia kesi viongozi wa ACT na chadema, ni Ajabu maandamano ya Amani kuogopwa na Polisiccm mpaka kujiingiza kwenye propaganda za kishamba na kishetani.
 
Hamna mwananchi wa kawaida anayeshangilia huu udhalimu..wanaoshangilia wana agenda zao na wanafaidika na hali ilivyo! Ni kukosa uzalendo kwa taifa tu na tutakuja kujuta siku si nyingi
Ni kweli wapo wanufaika wa mfumo but amini usiamini, majority ya hawa wa JF ni malofa wenzetu tu wasio na mbele wala nyuma, huku wakiwa wanaishi kwenye chumba kimoja cha kupanga Uswahilini na choo cha nje!!!

Wengine hata kazi zenyewe hawana, yaani mabwege tu huku wengine kwavile Rais ni Ngosha na wao ni Ngosha, ndo basi tena... wanachukulia ni urais wa akina Ngosha na kwahiyo wana wajibu wa kumtetea Ngosha mwenzao hata kwa mambo ya kijinga!!!
 
Ulisemalo ni la jhakika hao wapo wengi mno humu na huku mtaani tunapoishi.

Bendera fuata upepo.
 
Back
Top Bottom