Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Upupu
 
Kuna watu toka washinde kwa Rekodi, lakini hawana raha huko [emoji23][emoji23][emoji23].
Kuna mkwere 2010 alishinda kidogo ila alikuwa anazurura dunia nzima bila matamko kutoka kwa mabeberu na White House alialikwa, na Bush na Obama walikuja Tz kama kwao [emoji23][emoji23][emoji23].

Kikwete was a smart politian.

CCM then had smart leadership.

Sent from my G-PADLITE using JamiiForums mobile app
 
Dogo minyoo jipige vidole tu kutoa hiyo minyoo inayokumaliza akili....uchaguzi umepita, watu tunafanya kazi sasa. Lissu hana kazi, analazimisha watu wasio na akili kuandamana ili iweje?
Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho? Niilikutegea nikuone tayari umenasa wewe mbumbumbu juha zuzu Tambua kuwa kipimo za uzezeta ufala hapa JF huwa ni kuisengenya ID ya JF ambayo haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani ndiyo maana ID yako ni ya kishamba lakini hakuna anayehangaika nayo, wenye Akili timamu wapo busy na mada, wewe Mbona huna kazi na unakataa maandamano ya Amani? Uchaguzi upi umepita? Hakuna uchaguzi Tanzania zaidi ya vioja na maigizo ya kuuhadaa ulimwengu kuwa Tanzania kulikuwa na uchaguzi
 
Chanzo cha kukamatwa kwao ni serekali ya Magufuli imejaa hofu na haijiamini kwa sababu haijashinda uchaguzi kihalali
Hizi ni hisia zako!!! Umepata habari za dereva wa viongozi hao aliyelinusuru taifa kwa kuonyesha upendo wa hali ya juu kwa watanzania wenzake!? Ama bado!?
 
Serikali ya Magufuli ina behave kama vile haijashinda!

Mabavu ya nini kama kweli wameshinda kihalali na hiyo mandate ya zaidi ya asilimia 80??
Ukishindwa kwenye pambano lolote lile usipokubali matokeo wewe utakuwa ni jeuri utajibiwa kwa jeuri. Usipotii matokea ukaleta mabavu utajibiwa kimabavu.
 
Kwa hiyo wote ambao hawajachaguliwa waende jela?
Lengo la CCM ni kuufuta mfumo wa vyama vingi ndiyo maana cyprian Musiba aliandaa njama za kuwateketeza wapinzani kwa njia haramu za kishetani
 
Hizi ni hisia zako!!! Umepata habari za dereva wa viongozi hao aliyelinusuru taifa kwa kuonyesha upendo wa hali ya juu kwa watanzania wenzake!? Ama bado!?
Aliyetengenezwa siyo. Mbona single hizi tumezizoea? Kuanzia Ulimboka n.k
 
Ukishindwa kwenye pambano lolote lile usipokubali matokeo wewe utakuwa ni jeuri utajibiwa kwa jeuri. Usipotii matokea ukaleta mabavu utajibiwa kimabavu.
Kwenye fair play ndipo kuna kitu kama hicho siyo kuchezewa faulu kisha ulazimishwe kukubali matokeo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Imeisha hiyoooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…