Labda mpaka upepo huu upite,nadhani labda mpaka baada ya tarehe tanoTaarifa za hivi punde ni kuwa Vyombo vya Dola jijini Dar vinamshikilia Ndg. Tundu A. Lissu.
Lissu amekamatwa muda mchache uliopita jijini Dar akiwa ameenda kutafuta hifadhi Ubalozi wa Ujerumani (Jengo la Umoja House).
Huu ni mwendelezo wa kukamata viongozi wa CHADEMA na ACT Wazalendo.
Taarifa kwa kina zinakuja...
Jinga tu wewe!Wewe hadi sasa ni mjinga wa kutupwa.
Endelea kutukana watu mitandaoni.
Siku wavu utakapokunasa ndipo utaelewa.
Tutangazie pia nawe sehemu yako ilivyohamishwa wakati unasajiliwa lb7Alafu kwanini wamempeleka kama biharusi?
alitakiwa afike kituoni uso umehama sehemu yake.
System ikiwa inakubeba usilewe mpaka ukaona wenzako ni takataka sio binadamu.Alafu kwanini wamempeleka kama biharusi?
alitakiwa afike kituoni uso umehama sehemu yake.
Je Elimu yetu has been crafted to make us lame, weak, timid, meek and subservient? Kwa nini tunakuwa wepesi kujisalimisha hasa haki inapoporwa Kibabe? Kwa nini tumekuwa na woga hata kuongea na kupigia kelele wizi huu wa kura na uchaguzi? Nani katufanya bubu, viziwi na vipofu?Taarifa za hivi punde ni kuwa Vyombo vya Dola jijini Dar vinamshikilia Ndg. Tundu A. Lissu.
Lissu amekamatwa muda mchache uliopita jijini Dar akiwa ameenda kutafuta hifadhi Ubalozi wa Ujerumani (Jengo la Umoja House).
Huu ni mwendelezo wa kukamata viongozi wa CHADEMA na ACT Wazalendo.
Taarifa kwa kina zinakuja...
Ila waliompiga Lissu risasi 36 hadharani hawajakamatwa hadi leo, kweli jeshi letu linaendeshwa kwa weledi mkubwa!!!!Taarifa za hivi punde ni kuwa Vyombo vya Dola jijini Dar vinamshikilia Ndg. Tundu A. Lissu.
Lissu amekamatwa muda mchache uliopita jijini Dar akiwa ameenda kutafuta hifadhi Ubalozi wa Ujerumani (Jengo la Umoja House).
Huu ni mwendelezo wa kukamata viongozi wa CHADEMA na ACT Wazalendo.
Taarifa kwa kina zinakuja...
We dont give a damn or rather we dont careBad move!
Pole sana.Jinga tu wewe!
Ona hii takataka, mbona mnashindwa nasa au zuia uvamizi wa hao magaidi wanao vamia mikoa ya kusini hapo kila uchwao??Inawezekana.
Lakini usidharau kabisa mfumo wa usalama wa Tanzania kwa sasa una uwezo mkubwa wa kunasa kila kitu ndani na nje ya mipaka.
Polisi wanafuata maagizo ya intelligence na mashine nzima ya ulinzi na usalama ili Tanzania iwe salama..
Inawezekana.

Je Elimu yetu has been crafted to make us lame, weak, timid, meek and subservient? Kwa nini tunakuwa wepesi kujisalimisha hasa haki inapoporwa Kibabe? Kwa nini tumekuwa na woga hata kuongea na kupigia kelele wizi huu wa kura na uchaguzi? Nani katufanya bubu, viziwi na vipofu?Wrong strategy...hawa polisi wamesomea wapi huu ujinga aisee. Kuwakamata viongozi wetu kama njia ya kuzima maandamano ndio wanazidi kutuprovoke.
We will not be silent, tutaenda kuvamia vituo vya polisi na kutoka na viongozi wetu, so polisi should foresee whether umma utakapovamia vituo vya polisi kama wao watakuwa wana-exist alive
Hiyo ni kazi ya jeshi.Ona hii takataka, mbino mnashindwa nasa au zuia ivamizi wa hao magaini wanao vamia mikoa ya kusini hapo kila uchwao??
Very sad.Udikteta rasmi Tanzania