MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,747
- 2,977
Upumbavu ni mzigo!Jamani napinga hili la Lissu kuachiliwa baada ya kukamatwa.....nakata rufaa. Huyu mtu inabidi arudishwe jela tu. Hana tena thamani kwetu kwani tumeshamchagua rais tumtakaye.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upumbavu ni mzigo!Jamani napinga hili la Lissu kuachiliwa baada ya kukamatwa.....nakata rufaa. Huyu mtu inabidi arudishwe jela tu. Hana tena thamani kwetu kwani tumeshamchagua rais tumtakaye.
unga mkono juhudiNipo nimekaukiana tu
Maandamano tarehe 2 lakini tarehe 1 Polisiccm wakamkamata mwenyekiti wa chadema na viongozi wengine kwa maana ingine Polisiccm ndiyo wamezuia waandamanaji kwa kutumia vitishoHivi sababu ya kutoakufanikiwa kwa maandamano yenu ni nini?
Mkuu kaa kimia ,unaongea nini,?? Acha kabisa, organ za nchi lazima kupima kabla ya mahamuzi yoyote ,na bila shinikizo lolote,mnashabikia Mambo ambayo yatalighalim taifa? Alafu wakaa wasema we mzalendo?Upinzani ungekuwa unapigania mambo ya msingi haya yote yasingetokea,yule wa CUF anakumbuka shuka wakati kumekucha,eti hawashiriki uchaguzi mwingine wowote kama hakina tume huru.tulisemaga humu toka kipindi cha uchaguzi wa serikali za mitaa,kwamba tume huru ni muhimu ikawepo kwanza hata kama tungehairisha huu uchaguzi kwa muda.
Matokeo yake ni kushindwa kama ilivyotokea,walidhani watapata viti vingi vya ubunge kama kipindi cha lowassa.
Sasa kujaribu kuleta sintofahamu,kwa kutishia maandamano imekuwa kama uhaini kwa sasa.kujaribu kutikisa kiberiti cha amani ni hatari.
Mimi naona vyombo vya dola vipo sahihi.na hao mabalozi wakae hapa nchini kwa kutulia.sio wanaletaleta umbea kama mawakala wa shetani.
Mbona mimi siyo ngosha?Na ninachoamini, heri ya hao wanaoshiba utasema ni wabinafsi wanaotetea matumbo lakini am very sure wengine ni malofa wenzetu tu wanaoishi kwa dada zao, na wale wanaokaa kwao basi ni kwenye chumba kimoja choo nje kama sie wengine!
Hawa wanasukumwa sana na Ungosha, and nothing else.
Lakini kama unavyosema, iwe ni wale wenye neema au akina sie, itafika wakati mfumo huu katili utakuwa uchagui, na mfano mdogo ni kwenye hii issue ya Internet... yaani wanaumia waliomo na wasiokuwemo lakini wanaona aibu kusema!!! Yaani wanakufa kifo cha kizungu na tai shingoni!
Pumbafu wewe,acha roho mbaya!,kumbuka kuna maisha baada ya maisha haya.Safi sana, akabidhi passport yetu, kibali chetu cha uwakili Tanzania.
Waoga ni Polisiccm kwani ndiyo wana BundukiWakati wamemkamata mbele ya hao mabeberu, yamebaki yanatoa macho tu.
Lissu muoga sana, sasa ndio nini kukimbilia ubalozini?
Saafi, wacha wamuanike Jiwe
Inasikitisha sanaHuu ni mwendeleza wa udhalimu wa serikali dhidi ya vyama vya upinzani na viongozi wake Tunaziomba jumuiya za kimataifa kuingilia Kati ili kuepusha maafa zaidi.
Maandamano ya Amani yana fujo zipi?Ndiyo uko nyumba ya vioo halafu unapiga bomu. Magufuli hachezewi. Na hii ni awamu ya lala salama ni lazima alalishe wasumbufu.
Maandamano hapa hapana kabisa . Kama hujaridhika ni kwenda mahakamani hata ya AFRICA AU DUNIA. Watu maandamano ya Fujo hatujazoeana hayajawahi kutokea tena baada ta yale ya Mwembechai.
Kwa hiyo nchi sio ya wananchi tena bali ni ya nyie ccm pekee?!Safi sana, akabidhi passport yetu, kibali chetu cha uwakili Tanzania.
Walikuwepo akina Bokasa chiluba Abacha Gadafi Sadam Hussein Elbashiri Iddy Amin dada mabutu wapo wapi?Na kwa sababu walikwisha sema watampiga sindano ya sumu,huu sasa utakuwa ni wakati mwafaka kwao.
Ila wakumbuke,jaribio lolote la kumuua litasababisha mauaji makubwa sana katika nchi hii,na Jiwe atafanyiwa alichofanyiwa rais wa Irak hayati Sadam Husein
Nne: Kwanini kaachiwa?Safi kabisa, maandamano ni uchochezi au mapambio ?
Pili, kwanini amekamatwa ?
Tatu, pumba hazitapikwi, jifunze matumizi mazuri ya maneno.
We unayejiita mzalendo mbumbumbu, bado unaweza kuja kutetea huu upupu wako huku?Kwahiyo wewe hapo hadi sasa huamini kukamatwa kwa Mbowe na wenzie pamoja na polisi kutoa maelezo ya kukamatwa kwao?
Akiendelea kuwakamata ndo ataharibu zaidi..
Mtu umeiba kura alafu unajifanya mbabe.
Ubabe hausaidii kitu.
Kuna maisha baada ya kustaafu .utaishi vipi na watu.
Ndiyo kilichobaki sasa kupiga ramli tu mwanzo ulikuwa unasema mnachukua nchi mapema asubuhi. Endelea na ramli zako mkuu!Walikuwepo akina Bokasa chiluba Abacha Gadafi Sadam Hussein Elbashiri Iddy Amin dada mabutu wapo wapi?
Hujamalizia ulichotaka kusema, hapa ulisahau kuongeza FFU (Field Force Unit), kwani ulitaka Lissu akamatwe na FFU au?
Watanzania wa wapi wameamua juu ya CCM? Maana watanzania wenye Akili timamu hawawezi kuipa CCM kura, Yaani wapinzani hawapo huru kwenda popote? mnawachagulia pa kutembelea?Uanzishe maandamano then ukimbilie ubalozini kweli ni sawa?, Sasa wewe mwananchi andamana then tuone kama utakimbilia kwa balozi wako wa nyumba kumi.
Au unadhani utakimbilia UK Au Germany?
ACHANA NA MAANDAMANO, WATANZANIA TUMESHA AMUA.
Na wewe endelea kujinufaisha kupitia blackmail ipo siku utajutia udhalimu wako na wenuNdiyo kilichobaki sasa kupiga ramli tu mwanzo ulikuwa unasema mnachukua nchi mapema asubuhi. Endelea na ramli zako mkuu!
Hapana, wapuuzi tu wanaoshinikiza mazezeta kuandamana. Mtu umeshindwa uchaguzi huru eti bado tu unalalamika kuhisi bado uko bungeni. Mazoea mabaya sana.Kwa hiyo wote ambao hawajachaguliwa waende jela?