Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Labda embassy waliita police kuna mtu hawamwelewi elewi nje ya embassy.

Halafu ukiwa na VISA ama uko resident ya EU utaomba je tena ukimbiza kwao, ndiyo maana hawakumuelewa. Maana hata system zao zitakataa kukupa huo ukimbizi.

Yeye angeenda embassy nje ya hizo, kama Korea Japan nk.
 
Hivi huyu Mwabnasheria anakuwa updated haraka kiasi hiki anatumia mitambo gani? Maana sekunde tu alipokamatwa alifahamu na ameachiwa fasta ameshafahamu.
 
Wangeachana nae tu.. CCM tumeshinda sana, wamuache tu
Haiwezekani, lazima wamshikishe adabu. Wananchi wake hawamtaki maana hawakumchagua. Yeye anataka kubisha na kupiga kelele zisizo na msingi anafikiri bungeni hapa? Mazoea yana taabu sana, hawa wapinzani walizoea kupinga na kupiga kelele kila kukicha huko bungeni. Huku mtaani tutawashikisha adabu, bunge letu si la mchezo.
 
Wachumia tumbo wanufaika wa udikiteta na udhalimu wa CCM kwa Akili zenu ndogo eti mnadai mmeshinda uchaguzi? Uchaguzi upi? Wapi? Ni kweli Rais mteule wa NECCCM Tumeccm na Polisiccm siyo wa kuchaguliwa na wapiga kura
Sasa utafanyaje mkuu,ndio imeisha hivyoo,na maandamano nayo yameshindikana,shida juu ya shida.muhula uliopita mlikuwa na wabunge kedekede,ruzuku ya kutosha,bado kwenye uchaguzi mkapitisha bakuli,sasa kwa sasa ruzuku hakuna sijui chama kitaendeshwaje.mnaelekea kufa asee,viongozi waandamizi wanakuwa kijiweni,hela ya kuendeshea maisha watapata kwenye biashara zao .ndio maana wamepaniki na matokeo,hawakutegemea.

Mzeee magu mtu m-bad.....[emoji3][emoji3][emoji119][emoji119]
 
Mazezeta waliichagua CCM ndipo NECCCM Tumeccm na Polisiccm wakaamua kuubaka kuunajisi kuulawiti kwa njia haramu za kishetani, hakuna kufanya makusudi kuandamana kwani ni maandamano ya Amani yasiyo na fujo, Nchi ilishachafuka tayari ichafuke mara ngapi? Kitendo cha kuwa mnawabambikia kesi kesi kuwapiga risasi tayari mmeichafua Nchi
Dogo minyoo jipige vidole tu kutoa hiyo minyoo inayokumaliza akili....uchaguzi umepita, watu tunafanya kazi sasa. Lissu hana kazi, analazimisha watu wasio na akili kuandamana ili iweje?
 
Lisu yaani sijui yukoje. Hivi kweli kwa akili zake alijua angeshinda uchaguzi? Ha ha ha ha ha ha ha ha ha aaaaaaa
 
Wakti ule ukimaliza form six unapita JKT halafu kama umeonekana ni wale wanofaa kwa muendelezo si waendelea Monduli mzee au?

Hao watu wangu 1000 ni katika shughuli ingine kabisa tofuti na Army mkuu.

Mimi sasa kwa Army ni reservist tu sina impact sana.

Wanifuatilia hapo?
Wakati ule ilikua ni ukimaliza form six? Get your facts right young man. Halafu unaniuliza mimi tena? we si First Lieutenant afande?

I know hao 1000 sio mambo ya kijeshi because it could never have been, hata kwenye ndoto huwezi kuota, and now I know for a fact hata squad tu usingeweza pewa, halafu unataka kujifanya First Lieutenant..now sing a lullaby and tuck yourself in bed.
 
Haiwezekani, lazima wamshikishe adabu. Wananchi wake hawamtaki maana hawakumchagua. Yeye anataka kubisha na kupiga kelele zisizo na msingi anafikiri bungeni hapa? Mazoea yana taabu sana, hawa wapinzani walizoea kupinga na kupiga kelele kila kukicha huko bungeni. Huku mtaani tutawashikisha adabu, bunge letu si la mchezo.

This is not a good way of treating and leading individuals with different political ideology, dialogue is the best option worldwide.. Sijui unaelewa? Watu wasomi tunashindana kwa hoja, CCM ina wasomi wazuri tu, lazima tuonyeshe uwezo wetu ktk hoja na kuongoza kwa akili, sio nguvu au kuumiza wasio na matazamo tofauti na sisi, na hiyo ndio maana ya multi-party system, maana unaruhusu kushindana na kupingana kwa hoja tu.. Tumeshashinda kilichobaki yafaa tuwaonyeshe kwa vitendo na maendeleo makubwa kuwa tumestahili ushindi..
 
Back
Top Bottom