Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Verification of Twitter accounts blackmailing Tanzania Was a Help from US Embassy.

Some anonymous accounts blackmailing Tanzanian government, have been verified and sponsored same day when US embassy joint latter with Germany embassy went viral on the internet revealing their support to opposition parties which later they claimed to be fake on their twitter account.

According to our source the request to verify those accounts were made by US embassy in Dar es Salaam one day before the election so that they can be used to support opposition propaganda without leaving a trace that they were involved.

“Ambassador asked us to list usernames of all twitter accounts including anonymous which criticize and blackmail the government which we listed and later on the same day all accounts that we listed were verified” our source said.

Despite of interfering election process all accounts listed started to post violent content, rape videos, dead bodies, and organize violence in various places in Tanzania including Zanzibar which in fact all contents they post have been originated from porn sites and violent videos from the internet.

US embassy and ambassador Donald J Wright have always been justifying posts from these twitter accounts to blackmail and make international community believe that Tanzania election was not free and fair which they actually haven’t provide any official reports to verify that as observers.

EAC reposts as one of observers from international community is saying that election was free and fair, other international communities are expected to do the same while waiting for official reports it is advised to ignore any unofficial information from social platforms including twitter.


Mabalozi wengi hapa nchi ni watu hatar kwa maendeleo yetu
 
Wakati ule ilikua ni ukimaliza form six? Get your facts right young man. Halafu unaniuliza mimi tena? we si First Lieutenant afande?

I know hao 1000 sio mambo ya kijeshi because it could never have been, hata kwenye ndoto huwezi kuota, and now I know for a fact hata squad tu usingeweza pewa, halafu unataka kujifanya First Lieutenant..now sing a lullaby and tuck yourself in bed.
Ok, keep everything in your volt if necessary.

I have important things to look after here in Dodoma.
 
Hizi ni porojo na propaganda dhaifu za maji taka!Dereva huwa anaingia kwenye vikao nyeti vya viongozi mpaka awe na taarifa nyeti za viongozi wake?Unaelewa kazi ya dereva wa viongozi?Unaelewa mipaka ya dereva wa viongozi?
chadema kwani wana uongozi tokea lini
 
Taarifa za hivi punde ni kuwa Vyombo vya Dola jijini Dar vinamshikilia Ndg. Tundu A. Lissu.

Lissu amekamatwa muda mchache uliopita jijini Dar akiwa ameenda Ubalozi wa Ujerumani (amekamatiwa mbele Jengo la Umoja House).

Huu ni mwendelezo wa kukamata viongozi wa CHADEMA na ACT Wazalendo.

======
UPDATE: 1950hrs

Lissu ameachiwa bila masharti yoyote

=====

TAARIFA ZAIDI KUTOKA KWA MENEJA WA KAMPENI WA LISSU

Lissu akiwa na Katibu wake pamoja walinzi wake wawili alikamatwa akiwa nje ya Ubalozi wa Ujerumani ambapo alikuwa akisubiri kuonana na Balozi wa Ujerumani, Regine Hess aliyekuwa na miadi naye.

Taarifa zinaeleza kuwa Balozi alikuwa akiendelea kufanya some foreign clearance ili aweze kuonana na Lissu.

Lissu alishikiliwa kwa sababu zile zile za kuhamasisha na kuchochea maandamano ambayo yangesababisha uvunjifu wa amani.

Akiwa ameshikiliwa, inadaiwa kuwa Balozi wa Ujerumani alienda Central pia.

Lissu amehojiwa na kuachiwa na muda huu (saa mbili usiku) yuko nyumbani kwa Balozi wa Ujerumani.
Nchi imefika patamu sana !
 
Haiwezekani, lazima wamshikishe adabu. Wananchi wake hawamtaki maana hawakumchagua. Yeye anataka kubisha na kupiga kelele zisizo na msingi anafikiri bungeni hapa? Mazoea yana taabu sana, hawa wapinzani walizoea kupinga na kupiga kelele kila kukicha huko bungeni. Huku mtaani tutawashikisha adabu, bunge letu si la mchezo.
CCM haijawahi kufanya chochote cha maana hata miradi yote mikubwa ina ufisadi, Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo kabsa ndiyo maana wapinzani hupinga vyote vya CCM kwani vimejaa magumashi kibao, hakuna watanzania wameichagua CCM acha uzushi kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi kwa njia haramu za kishetani
 
Serikali ya Magufuli ina behave kama vile haijashinda!

Mabavu ya nini kama kweli wameshinda kihalali na hiyo mandate ya zaidi ya asilimia 80??
Wamemkamata kisha kumwachia huru. Hii ni baada ya kubaini wame-mbip Amsterdam
Yaani wana bipu halafu wanafunga simu! Watajabiwa tu kwasababu hiyo ni 'alert'

Kitendo hicho ni kumpa Amsterdam platform na sasa wasubiri mvua ya 'aibu'

Wanahangaika, nafsi zinawasuta, umma umesusa, chuki imetamalaki! wanajisikia upweke na ukiwa
Kadri wanavyojitahidi ndivyo wanavyozidi kujichafua.

Mambosasa anapiga ramli ambazo mbele ya mahakama hazisimami hata kama ni mahakama ya CCM.
Mtu hashtakiwi kwa kudhani, lazima uwepo ushahidi. RPC angesindikiza maandamano na wale wanaojaribu kufanya vurugu ndio ungekuwa ushahidi. Sasa hivi hana ushahidi ana hisia na dhania tu
 
Maandamano ya Amani yana fujo zipi?
Awamu ya 5 haijawahi kuruhusu maandamano au mikusanyiko ya upinzani. Hivyo ni lazima kungekuwa na kuumizana hasa toka upande wenye nguvu na maelekezo. Vifo vingi tungevisikia au kuvuona. Hivyo ukishamfahamu unayegombana naye basi ni bora uchague fungu la kukaa kimya.
 
1.Maandamano si uchochezi we junya!

Maandamano ni sehemu ya civil liberties na ndo maana yanaruhusiwa kikatiba.
Nimecheka sana. Hivi inakuwaje mnayajadili mambo msiyo jua hakika yake ? Mjinga kama wewe huwa tunakupa udhuru na amani, na kukupuiza pia, haturudishii neno baya zaidi ya kukusimamishia hoja.

Bado unamili katila udhaifu wa ukomo wa akili. Jambo kuruhusiwa na katiba haimaanishi ya kuwa jambo hilo ni zuri ndiyo katiba huvunjwa kwa kuangalia maslahi.

Tukija kuangalia dhati ya maandamo yenyewe ni kupinga jambo fulani ambalo lipo dhidi ya dola, huu ni uchochezi kwa maana na kwa dhati.

Naendelea kukumbusha ya kuwa jifunze kuweka maneno mahala pake.
2. Kwa nini amekamatwa? Kakamatwa kwa sababu ya upumbavu wa serikali na kutokujiamini kwa Magufuli. Na kwa taarifa yako, keshaachiwa bila masharti yoyote yale. Ushahidi kwamba hawakuwa na sababu yoyote ile ya msingi, to begin with!
Kukamatwa jambo moja na kuachiwa ni jambo lingine, kama alovyokamatwa kwa sababu bila shaka ameachiwa kwa sababu, na hii si hoja.
3.Okay, basi tu substitute pumba na matapishi! Unatapika matapishi tu hapa.
Naona unaendelea kukosea kama ulivyo anza kukosea hapo awali. Hakuna matapishi niliyo tapika zaidi ya kujenga hoja.

Jifunze kuweka kila kitu mahala pake.
4. 🖕🏿
Una tabia kama za mke wangu wa tatu. Mmetofautiana jinsia tu.

Mbwa hubweka sana, ila tangu lini umewahi kuona Simba akajibizana na Mbwa ?

Nipo....
 
Hizi ni hisia zako!!! Umepata habari za dereva wa viongozi hao aliyelinusuru taifa kwa kuonyesha upendo wa hali ya juu kwa watanzania wenzake!? Ama bado!?
CCM bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana.
 
Verification of Twitter accounts blackmailing Tanzania Was a Help from US Embassy.

Some anonymous accounts blackmailing Tanzanian government, have been verified and sponsored same day when US embassy joint latter with Germany embassy went viral on the internet revealing their support to opposition parties which later they claimed to be fake on their twitter account...
We wazazi wako bora wangepiga blow job tu, wangesaidia taifa kuondoa huu ujinga
 
Kwani CCM wameshinda uchaguzi? Uchaguzi upi? Wapi?
Tumeshinda kwa kishindo 80% na ushee ila hakuna mwananchi anashangilia ushindi hata kuuuongelea. Utafikiri ni msiba wa Nyerere ndiyo ulitia simanzi sana Taifa. Yaani sielewi kabisa ni kwa nini hatushangiliwi.
 
This is not a good way of treating and leading individuals with different political ideology, dialogue is the best option worldwide.. Sijui unaelewa? Watu wasomi tunashindana kwa hoja, CCM ina wasomi wazuri tu, lazima tuonyeshe uwezo wetu ktk hoja na kuongoza kwa akili, sio nguvu au kuumiza wasio na matazamo tofauti na sisi, na hiyo ndio maana ya multi-party system, maana unaruhusu kushindana na kupingana kwa hoja tu.. Tumeshashinda kilichobaki yafaa tuwaonyeshe kwa vitendo na maendeleo makubwa kuwa tumestahili ushindi..
Listen, Lissu na wapinzania had a chance to tell watanzania what they will do once chosen as leaders of this country. We heard them loudly and they had nothing new to tell us. We chose not to elect them, is that wrong? We have spoken, we want Magufuli and other elected officials to lead us for the next 5 years to come.
 
Back
Top Bottom