minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Mikataba mibovu yote hupitishwa na wabunge wa CCMWakati tunaibiwa makinikia chama gani kilikuwa madarakani?
Nifahamishe niweke kumbukumbu zangu vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikataba mibovu yote hupitishwa na wabunge wa CCMWakati tunaibiwa makinikia chama gani kilikuwa madarakani?
Nifahamishe niweke kumbukumbu zangu vizuri
Mikataba mipya ya madini ni siri zake mwenyewe hakuna anayejua kituJPM Mara kampeni, Barrick wamelipa 100m, $, nyingine watalipa kwa awamu in some years , UDSM 5m ,elimu madini, barabara.......plus 16% share ( Jua awali tulikiwa na 15 haohao ccm wakaziuza ) hiyo toka 300$ pekee, hakuongelea zile trillion 490 !! Wala ajia zaidi 2000 Watanzania wamepoteza saga makinikia, viwanda ,biashara,....hiyo $300M, ni kama pato la mwezi pekee migodi ikiwa ktk fully operation.Tumepoteza Barrick, pia tumepoteza imani wawekezaji wakubwa wapya!! Watanzania wwnzetu walipoteza ajira na maisha wategemezi.....hasara ni zaidi ya faida alizodai!!!
Haki sio TumboNyani Ngabu haelewi anasimamia nini
I wish ningekuwa polisi alitakiwa kulazwa central pimbi mkubwaTaarifa za hivi punde ni kuwa Vyombo vya Dola jijini Dar vinamshikilia Ndg. Tundu A. Lissu.
Lissu amekamatwa muda mchache uliopita jijini Dar akiwa ameenda Ubalozi wa Ujerumani (amekamatiwa mbele Jengo la Umoja House)...
Sawa QeenVyombo vya usalama huwa wanafanya kazi masaa 24. Kama kuna njama mbaya walikuwa wanafanya mnataka wasikamatwe?
Mbona Queen Sendiga hajakamatwa?
Niseme mbowe ,sio gaidi ,najua tz vyombo vyetu mko vizur ila mbowe sio sawa ,ili twennde sawa nami sitetei, hualifu basi tz nzima tupige kura na tujue wananchi wamtambua Kama nani.mnashangilia udikteta si punde hata huu mtandao tutafungiwa ushabiki ni mbaya sana. Sasa wakiona wananchi hawathamini kura zao ndiyo watafanya kila kitu bila lufuata sheria au misingi yeyote.
Zitto ni puppetZito akamatwi usikute yeye ndio anawachomesha wenzie, Sinaga Imani nae sijui kwanini
Kwa hiyo mamlaka zilitaka kutekeleza lile ono la Doto James binam wa Magu kumchoma sindano ya Sumu?Taarifa za hivi punde ni kuwa Vyombo vya Dola jijini Dar vinamshikilia Ndg. Tundu A. Lissu.
Lissu amekamatwa muda mchache uliopita jijini Dar akiwa ameenda Ubalozi wa Ujerumani (amekamatiwa mbele Jengo la Umoja House)..
Vip kiongoziMawazo ya upinzani yakijinga sana. Kwahiyo umewa mpaka mwisho hapo.
Ngoja ashughulikiwe na police then ndio atajua kuwa ilikuwa haki yake kupeleka malalamiko tume au mahakamani na sio maandamano
Hiyo rubbish ni made in burundiHivi CCM mlimtoa wapi huyu rais anayedhalilisha legacy ya utawala bora wa Taifa letu?
Mr president magufuli is highly protected.Na kwa sababu walikwisha sema watampiga sindano ya sumu,huu sasa utakuwa ni wakati mwafaka kwao.
Ila wakumbuke,jaribio lolote la kumuua litasababisha mauaji makubwa sana katika nchi hii,na Jiwe atafanyiwa alichofanyiwa rais wa Irak hayati Sadam Husein
Mtwara nafikiri iko Msumbiji.Inawezekana.
Lakini usidharau kabisa mfumo wa usalama wa Tanzania kwa sasa una uwezo mkubwa wa kunasa kila kitu ndani na nje ya mipaka.
Polisi wanafuata maagizo ya intelligence na mashine nzima ya ulinzi na usalama ili Tanzania iwe salama..
Usiseme watzUanzishe maandamano then ukimbilie ubalozini kweli ni sawa?, Sasa wewe mwananchi andamana then tuone kama utakimbilia kwa balozi wako wa nyumba kumi.
Au unadhani utakimbilia UK Au Germany?
ACHANA NA MAANDAMANO, WATANZANIA TUMESHA AMUA.
Hilo la kufikiria CCM ya wakati ule ndio ya sasa ndilo limewafelisha wapinzani. Wenzenu walishadilika mudaaa nyie mko kulekule😁😁😁Wakati tunaibiwa makinikia chama gani kilikuwa madarakani?
Nifahamishe niweke kumbukumbu zangu vizuri
Duh.. ule uchaguzi unaeza kusema ulikuwa "...free and fair.."?!EAC reposts as one of observers from international community is saying that election was free and fair,
Nani kakwambia magufuli ana mpango wa kustaafu ?Akiendelea kuwakamata ndo ataharibu zaidi..
Mtu umeiba kura alafu unajifanya mbabe.
Ubabe hausaidii kitu.
Kuna maisha baada ya kustaafu .utaishi vipi na watu.
Kama haki yangu kuuliwa niuliwe tu, ila ujinga ni jambo baya sana, hata mjinga mwenyewe hapendi kuitwa mjinga.Wewe ni dictator Nani auliwe maana hata wewe ni mubishi Sana kwa hyo uuliwe.?
Rejea historia...Unahalalisha mauaji kwa kivuli cha kulinda amani