Dar: Unaambiwa karibu guest zote zimejaa ujio wa Mkesha wa Mwamposa

Ni wajinga tu hao wanaenda kuliwa fedha zao, ili mlaji akajenge hotel na majumba ya kisasa kule kwao Mbeya.
 
Kuna mkesha Mkubwa sana hapo unaitwa HAUTASAHAULIKA. KUFIKA NI UHAKIKA HAUTASAHAULIKA. Mkesha ni kesho mkuu ila tangu jumatatau watu kutoka mataifa mbalimbali wameshajaa pale.

Ni mkesha wa kimataifa unakusanya watu si chini ya laki tano kwa wakati mmoja. Maji yameuzwa pale zaidi ya Contena Nne za FT 12.
Mafuta yameuzwa pale si kawaida

Kwa mujibu a Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kila siku wanazaliwa watoto 200.

Kwa mujibu wa DALALI MKUU wajinga wanazaliwa kila siku, nchini, hawaishi na hawataisha. Ukishindwa kujiombea njoo tukuombee utulipe.
 
unadhani watu wote wale wanaenda pale ili wanashangae mwaposa! hapana watu wanaenda sababu ya shida zao na wengine wanakuwa sawa sasa lazima watu waongezeke wengi!
 

Duu
 
Kumbe alianza na spika moja?? Basi kweli Mungu hamtupi mja wake


Hata Yeye muweza wa yote alisema riziki ni kama mvua anawanyeshea wema na waovu na wakati na bahati huwapata wote bila kujali ni waovu au la

Yote kwa yote, Mungu anajua kweli ama hila ya kila mmoja nae atapewa stahili zake kwa kadri ya matendo yake
 
Ni kazi ya Wadhamini na Mameneja wale walikua wanapiga Tungi pale Sinza enzi hizo anawapigia kelele pale bar anapewa airtime ya kuhubiri lisaa limoja na Spika yake 1 sasa baadhi wamejiunga wakaanza kumsimamia wakamnunulia maspika na kila kitu kwa hio wapo nyuma yake Wewe unamuona mbele tu nyuma kuna watu wameweka Pesa zao tangu kipindi hicho ni Biashara Ile km Biashara zingine
 
Unambiwa na nani?

Wajinga ndiyo waliwao.
 
Your browser is not able to display this video.
 

Na ugaidi wangu na hasira zote za walokole mavi, lakini naweza kwenda kumsilikiza huyu mchungaji Hananja
Kwanza ile lafudhi yake inakumbusha maisha ya uswahilini temeke, miaka ile nasoma, halafu mhuni fulani unaweza ukamsilikiza maana huwa haongei pumba


Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…