IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,505
- 5,343
Weka ushahidi wa kuiba kwake!Lijizi na lifisadi liliiba matrillion limekufa limeenda nakutuachia zigo la mavi la madeni tunamlipia.
Alafu mbona anakutesa sana hata baada ya kufa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka ushahidi wa kuiba kwake!Lijizi na lifisadi liliiba matrillion limekufa limeenda nakutuachia zigo la mavi la madeni tunamlipia.
Vipi sasa hivi hawa hawaonewi na mwendazake tena?
Kwa njaa waliyonayo wanaotumikishwa kama hawa vijana walikuwa na hela basi ya ABDALLAH ZOMBE kujirudiaJeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limepokea taarifa za vijana watano wanaodaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha tangu mwisho wa mwaka 2021. Kamanda Jumanne Muliro amesema wamezipokea na wanazifanyia kazi kuweza kufahamu usahihi wake.
====
Dar es Salaam. Fears have gripped parents and relatives of five young men who have reportedly gone missing for over three weeks now.
The five young men, who are described as Kariakoo traders, went missing since December 26 when they left for a beach party in Kigamboni.
Some relatives said they received the last communication from the young men that they had been arrested by the police but their whereabouts remains a mystery.
“We have visited various police stations, hospitals and even morgues but got no clue yet,” said Mr Longili Martin, father of one of the disappeared young men.
“As I speak to you, I’ve just been at Msimbazi and Central Police stations to see if there was any development. Unfortunately, there is none. The police only say that they are investigating,”he said.
Mr Martin, a resident of Gongolamboto explained that he last communicated with his son Edwin Kunambi on December 23, when he invited the son for Christmas celebrations. According to him, Edwin told him that he would not join the family because he would be busy and promised to join them on New Year Day.
When contacted, Dar es Salaam Regional Police Commander Jummane Muliro said he was aware of the missing young men and police were currently conducting investigations into the matter.
He denied claims that they had arrested the men whom they are now looking for.
“Some family members have reported the matter to the police and we are saying that not every missing person is arrested by the police. Not every missing person is dead, several times children go missing and they are found somewhere else…. Therefore when a person goes missing people should be patient,” he said.
According to him, when he was Shinyanga and Mwanza RPC, almost every day people would go to the mines, stay there for six months and come back after they failed to get what they expected.
“When police arrest people, we normally announce so that family members would be aware of their whereabouts,” he said.
Ms Sylvia Quentin, a relative of one of the missing young men called Tawfiq Mohamed, stressed that they have visited every police station, hospital and morgue more than twice, but all has been in vain.
“We cannot continue like this, today we are planning to demonstrate to the Minister for Home Affairs and see how he can help us,” she said.
Ms Tabu Saidi told The Citizen that her son Rajab Mdoe went to her house in Kinyerezi on December 26, asked for a car so that he could go to the beach in Kingamboni with friends for a party.
“I remember it was around 2 in the afternoon, when he came and took the car. When it was past midnight, I decided to call him but his phone was unanswered. It did not bother me, because I knew he would come back but I became suspicious when he did not return until morning,” she said.
According to her, she tried to call his phone in the morning and unfortunately, it was not reachable.
She added that on December 27, two of her son’s friends went to her house, to inform that her son had been arrested by the police when they were going to the beach.
“I have reported the matter to the police stations, gone through all hospitals and morgues but there is no clue,” she said, adding that she was helpless as what to do next.
View attachment 2089191
Nani kakwambia? Tunapigika vile vile tu.Mbona mlishangilia kifo chake mkisema sasa mnapumua?
Sasa kulikoni tena?
Si mnapumua nyie?
Rais yeye kabadirika?IGP,DGIS,CDF wamebadilika?
We jamaa una akili km mtoto , kwahiyo sgr inamsaidia nan ? ndo naamin kwann viongoz wa kiafrika hawana huruma na raia , unaeza jitoa sn kumbe kuna lipumbav lilikuwa na cheti feki linapinga maendeleo , nyumb mkubwAliiba trillion 10 kupitia iyo SRG. Na huo mradi ulikuwa hata siyo kumsaidia mtanzania alianzisha ilu apige hela. Jitu linakopa matrillion hapohapo linakuapua hayo matrillion ya mkopo. Limekufa limeondoka limetuachia zigo la mavi ya madeni tunamlipia mradi wenyewe hovyo hauna faida na hautakuwa.
Nyambaff
Nahis ww ni mmoja kati ya wale vyeti feki , na nyinyi ndo mlikuwa mnabania ajira kwa vijana wenye elimu kuwazid mkihisi watachukua vyeo vyenu , hata umtungie JPM stori za uongo , JPM hajaacha mali yyte yenye thamani kufikia hizo ela unasema aliiba , wezi unawajua ila chuki inakufanya uwe mpumbav , Familia ya JPM inaishi maisha ya kawaida tu km watanzania wengine , JPM alipambania watz , mliokuwa mnakula kwa njia za rongo rongo ndo mnachukiaLiko na shetan linakung'utwa kweli kweli kwenye tanuru likijambajamba kea maumivu makali. Uzuri halitarudi tena kuteka, kuiba na kufisidi mali za imma na hilo li SRG halitafanikiwa kwasabab ya dhulma ya nafsi na hela za watu.
NYAMBAFF
Kipigo kiko pale pale tena mkuu? Si mlisema nchi ishafunguliwa😅Nani kakwambia? Tunapigika vile vile tu.
Ww ni cheti feki , tushakujua bro , bakia kijijini huko huko ulime , SSH ndo kakaza vyuma zaid [emoji3][emoji3]CCM= Magufuli
Nikisema CCM ni chanzo cha uovu basi ujue namaanisha Magufuli ni chanzo cha uovu wote hapa nchini
Wanakupiga para wewe!Aliiba trillion 10 kupitia iyo SRG. Na huo mradi ulikuwa hata siyo kumsaidia mtanzania alianzisha ilu apige hela. Jitu linakopa matrillion hapohapo linakuapua hayo matrillion ya mkopo. Limekufa limeondoka limetuachia zigo la mavi ya madeni tunamlipia mradi wenyewe hovyo hauna faida na hautakuwa.
Nyambaff
Ahahahaha.Ww ni cheti feki , tushakujua bro , bakia kijijini huko huko ulime , SSH ndo kakaza vyuma zaid [emoji3][emoji3]
Endelea kubeba box huko huko kwa mkoloni ukija town hapa kwa akili hizo utapigwa mashine! Huku tunaishi wanaume wa shoka tu.Lijizi na lifisadi liliiba matrillion limekufa limeenda nakutuachia zigo la mavi la madeni tunamlipia.
Ukiambiwa utoe ushahidi unao? Unaweza prove hilo?Aliiba trillion 10 kupitia iyo SRG. Na huo mradi ulikuwa hata siyo kumsaidia mtanzania alianzisha ilu apige hela. Jitu linakopa matrillion hapohapo linakuapua hayo matrillion ya mkopo. Limekufa limeondoka limetuachia zigo la mavi ya madeni tunamlipia mradi wenyewe hovyo hauna faida na hautakuwa.
Nyambaff
Wanakuchocha kweli we bonge la faraa! CCM ni taasisi inafungamanaje na mtuCCM= Magufuli
Nikisema CCM ni chanzo cha uovu basi ujue namaanisha Magufuli ni chanzo cha uovu wote hapa nchini
Sasa hivi hata wa kumlaumu hayupo! Ukililia ajira unaambiwa mvivu hujitumi huku wengine wanakula kwa urefu wa kamba zao. Ni kichapo tu mbuzi yake kamba.Kipigo kiko pale pale tena mkuu? Si mlisema nchi ishafunguliwa😅
Hahahhahah naskia mbuzi kakata kamba😅 wanakula hadi mboga za majirani😂😂😂Sasa hivi hata wa kumlaumu hayupo! Ukililia ajira unaambiwa mvivu hujitumi huku wengine wanakula kwa urefu wa kamba zao. Ni kichapo tu mbuzi yake kamba.
Imeisha hio, mkataa pema pabaya panamuitaHili swala ni la kiserikali zaidi.. mara ya mwisho inasemekana walipiga simu kwa ndugu zao kwamba wamekamatwa na wanaelekea polisi post fulani.. baada ya hapo hawakujulikana wapo wap?
Hii habari kila nikiwaza sipati jibu. Vijana watano wametoweka siku moja?Imeisha hio, mkataa pema pabaya panamuita
Aliiba trillion 10 kupitia iyo SRG. Na huo mradi ulikuwa hata siyo kumsaidia mtanzania alianzisha ilu apige hela. Jitu linakopa matrillion hapohapo linakuapua hayo matrillion ya mkopo. Limekufa limeondoka limetuachia zigo la mavi ya madeni tunamlipia mradi wenyewe hovyo hauna faida na hautakuwa.
Nyambaff