Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ndio wanafiki, wengine wale waliojipa ushangazi wa taifa wapo kimya.Sasa Zitto mbona uko kimya tofauti na zamani ulikuwa unapaza sauti?
Vipi sasa hivi hawa hawaonewi na mwendazake tena?Kama Majambazi ndiyo IMEISHA hiyo ,Polisi wanawapa VYUMA tu.
Kumbe English ni lugha kama lugha zingine.Njoo sasa bongo hapa kwa wasiojielewa ukijua kingereza na kuokteza mambo wanakuamini
Mfano mange kimambi na fatuma karume kwa kile kingerza chao wanaonekana watu wa maana na vijana wa ovyo wanawaamini asilimia 100 yaani sijui kwa nn
Kwa hiyo hili tukio unatofautisha vipi?Tofautisha ishu za Kisiasa, kijamii na kiuchumi.
Kama unaelimu huwezi shindwa kutofautisha visa kulingana na nyanda hizo tatu.
Mtu anaweza kupotea Kwa sababu za Kisiasa, kijamii au kiuchumi kulingana na nafasi na hadhi yake katika jamii yake.
Siyo Magufuli tena?CCM ni chanzo cha uovu wote hapa nchini
Kwani Magufuli bado yupo?Mawazo ya kishetani kutoka kwa shetani,umeshawahukumu kuwa hawa ni wauza unga je una ushahidi?Ben Saanane amepotea je unajua hili au kwa sababu sio ndugu yako?yaani nchi imeshakua ya watu makatili na roho mbaya kuliko za kikaburu.poleni wanafamilia mliuguswa na kupotelewa kwa ndugu zenu.
Huyu hujui kuna wasomi wengi dinian hawa jui kuongea kingereza? Na ana takiwa kujua kila nchi ana lugha yake kwenye kuwasiliana na kufundishia mashuleni yeye ana fikiri kila nchi dunia kwenyeElimu na makazini Wana tumia kiingereza mfano Russia, Korea, France nchi nilizo zitaja zina tumia lugha zake kila sekta mfano Elimu, serikali na sekta binafsi na vifaa vyote vya ElectronicKwenda shule au kuzaliwa mswahili?
Hakuna chochote yani, toka mwezi wa tisa hadi leo..Na gari je haikupatikana? Unajua Tanzania tunasema ni kisiwa cha amani ila kuna mambo yanaendelea kimya kimya and no body cares labda mpaka ya kukute ndo unaanza lia lia
Mimi mwenyewe nimeshangaaHii taarifa inawahusu raia wa Nchi gani?
Ahaaa ahsante[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu umechanganya madesa yule sio kaka yao...yule ni mtangazaj wa clouds anaitwa mbarouk khan. Na yeye alikua anashare tu kisa chake cha kufanana na hvo,jinsi kakake ilivomtokea.
Tunawatesaga sana wazazi wetu.Dah mkuu mtu wa vitu vingi vingi sana..
Lets wait waheshmiwa watakuja t na taarifa kamili.
Aisee na hakuna upelelezi wa maanaHakuna chochote yani, toka mwezi wa tisa hadi leo..
HuyohuyoSiyo rais Magufuli?
Ni yeye mkuu Sasa hivi ana enjoy ladha ya sulphur huko kuzimu.Siyo Magufuli tena?
Kwa hiyo bado yupo madarakani anateka watu?Ni yeye mkuu Sasa hivi ana enjoy ladha ya sulphur huko kuzimu.