DAR: Vijana watano wamepotea katika mazingira ya kutatanisha

Hii habari kila nikiwaza sipati jibu. Vijana watano wametoweka siku moja?
Hao watakuwa walikuwa wanapika IMEI za simu za ishu! Hio ni Cartel yao na huenda kulishakuwa na cases nyingi sana Obey pale sema wakajifanya manunda.

Maana uzuri wale ma Pie huwa wanakupa last warning kuwa acha mambo ya kingese ukiendelea utashangaa siku tu umetaitiwa na kuwa eliminated!
 
Hizi fununu za kupika IMEI zimetoka wapi?
 
Mwenzio nakula matunda ya nchi kwny kitengi nyeti ila hiyo hainizuii kutambua mchango wa mwamb [emoji3][emoji3]
Mimi pia nakula kwa urefu wa kamba yangu.
Asante Jakaya kwa kunipa ajira, Asante Samia kwa kuniongezea kamzigo.
Jiwe sheitwani umenitesa sana.
 
Siku hizi raia kupotezwa imekuwa kawaida. Hakuna anayejali. Kama watu wamematwa Kuna shida gani polisi kusema?. Kama walikuwa Ni wahalifu so wafikishee mahakamani kuliko kuwaweka muda wote huo.
 
Duu,Yaani una maana wanawadedisha?..
 
Weka ushahidi hapa wa benkstatamenti zake zilizotapakaa kila pembe ya dunia
 
Hili swala ni la kiserikali zaidi.. mara ya mwisho inasemekana walipiga simu kwa ndugu zao kwamba wamekamatwa na wanaelekea polisi post fulani.. baada ya hapo hawakujulikana wapo wap?
Kama ni kweli.....Polisi waseme wamewapeleka wapi
 
Kazi ya kingai na magenge yake hiyo.
 
Wakati wenzako wanafundishwa wewe ulikua unawaza sanne ifike ukale visheti, bagia na viazi, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
[emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…