DAR: Vijana watano wamepotea katika mazingira ya kutatanisha

DAR: Vijana watano wamepotea katika mazingira ya kutatanisha

Hii habari kila nikiwaza sipati jibu. Vijana watano wametoweka siku moja?
Hao watakuwa walikuwa wanapika IMEI za simu za ishu! Hio ni Cartel yao na huenda kulishakuwa na cases nyingi sana Obey pale sema wakajifanya manunda.

Maana uzuri wale ma Pie huwa wanakupa last warning kuwa acha mambo ya kingese ukiendelea utashangaa siku tu umetaitiwa na kuwa eliminated!
 
Hao watakuwa walikuwa wanapika IMEI za simu za ishu! Hio ni Cartel yao na huenda kulishakuwa na cases nyingi sana Obey pale sema wakajifanya manunda.

Maana uzuri wale ma Pie huwa wanakupa last warning kuwa acha mambo ya kingese ukiendelea utashangaa siku tu umetaitiwa na kuwa eliminated!
Hizi fununu za kupika IMEI zimetoka wapi?
 
Mwenzio nakula matunda ya nchi kwny kitengi nyeti ila hiyo hainizuii kutambua mchango wa mwamb [emoji3][emoji3]
Mimi pia nakula kwa urefu wa kamba yangu.
Asante Jakaya kwa kunipa ajira, Asante Samia kwa kuniongezea kamzigo.
Jiwe sheitwani umenitesa sana.
 
Siku hizi raia kupotezwa imekuwa kawaida. Hakuna anayejali. Kama watu wamematwa Kuna shida gani polisi kusema?. Kama walikuwa Ni wahalifu so wafikishee mahakamani kuliko kuwaweka muda wote huo.
 
kama ishu zao ni kupika IMEI za simu za wizi basi huo ndio mwisho wao! Polisi huwa ina mtindo wa kuweka records za wahalifu ila kesi ikiwa reccuring huwa wanaamua kuwa eliminate tu kwa namna wanaoijua wao. Ila ni baada ya kuwapa maonyo sana kuwa acheni hio michezo😅
Duu,Yaani una maana wanawadedisha?..
 
Nahis ww ni mmoja kati ya wale vyeti feki , na nyinyi ndo mlikuwa mnabania ajira kwa vijana wenye elimu kuwazid mkihisi watachukua vyeo vyenu , hata umtungie JPM stori za uongo , JPM hajaacha mali yyte yenye thamani kufikia hizo ela unasema aliiba , wezi unawajua ila chuki inakufanya uwe mpumbav , Familia ya JPM inaishi maisha ya kawaida tu km watanzania wengine , JPM alipambania watz , mliokuwa mnakula kwa njia za rongo rongo ndo mnachukia
Weka ushahidi hapa wa benkstatamenti zake zilizotapakaa kila pembe ya dunia
 
Hili swala ni la kiserikali zaidi.. mara ya mwisho inasemekana walipiga simu kwa ndugu zao kwamba wamekamatwa na wanaelekea polisi post fulani.. baada ya hapo hawakujulikana wapo wap?
Kama ni kweli.....Polisi waseme wamewapeleka wapi
 
Wakati wenzako wanafundishwa wewe ulikua unawaza sanne ifike ukale visheti, bagia na viazi, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
[emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom