DAR: Vijana watano wamepotea katika mazingira ya kutatanisha

Siku hizi raia kupotezwa imekuwa kawaida. Hakuna anayejali. Kama watu wamematwa Kuna shida gani polisi kusema?. Kama walikuwa Ni wahalifu so wafikishee mahakamani kuliko kuwaweka muda wote huo.
Eti mkuu!

Alafu walisema awamu ya 5 ndiyo ilikuwa inapoteza watu. Sasa hii nayo ni awamu ya 5?

Watz wakishiba mbaazi/dengu.... vidole vyetu vyote puani siku nzima.
 
Na gari je haikupatikana? Unajua Tanzania tunasema ni kisiwa cha amani ila kuna mambo yanaendelea kimya kimya and no body cares labda mpaka ya kukute ndo unaanza lia lia
hakuna amani, ni vile yakitokea kwa jirani yako rahisi kuona nchi ina amani. Unaweza kuta gari linatumika huko mikoani ndani ndani na usajili mpya.
 
dah inasikitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…