DAR: Vijana watano wamepotea katika mazingira ya kutatanisha

DAR: Vijana watano wamepotea katika mazingira ya kutatanisha

Some relatives said they received the last communication from the young men that they had been arrested by the police but their whereabouts remains a mystery.
Yaleyale ya mbweni na tazara wale mashahidi wa kwa mbowe waulizwe.
 
Kwenye hili tukio nimejifunza kitu kikubwa sana na kuanzia leo ntaanza kuviheshimu vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi yetu..
Kazi wanayofanya ni ngum sana aisee..
Kwenye hizo sura zilizowekwa za hao vijana kijana mmoja sura yake sio ngeni sana kwangu..
Sidhani kua namfananisha..
Jamni tuacheni vyombo vya ulinzi na uslama vifanye kazi zao
Sawa mkuu, umewahi kusikia kesi ya zombie na wenzake

Kama ndo ufanyaji Kazi hivo sawa
 
Kama hawa hawajakamatwa na unga na wapo sehemu subiri tu muone.
Hawa kuna chain inatafutwa. Mulito atakuja kusema. Na kama mmoja kalishwa chuma. Ni mapema sana chombo husika kueleza. Zaidi ni wote waliobaki wale vyuma. Hamna mtu tanzania anaweza kupoteza watu wasijulikane walipo zaidi ya system. Subirini mtakuja kuniambia hapa. Hawa ni wauza unga na wamekamatwa.
 
Kuna mtu atakuja kusema mwendazake kahusika

Tofautisha ishu za Kisiasa, kijamii na kiuchumi.

Kama unaelimu huwezi shindwa kutofautisha visa kulingana na nyanda hizo tatu.

Mtu anaweza kupotea Kwa sababu za Kisiasa, kijamii au kiuchumi kulingana na nafasi na hadhi yake katika jamii yake.
 
Kama hawa hawajakamatwa na unga na wapo sehemu subiri tu muone.
Hawa kuna chain inatafutwa. Mulito atakuja kusema. Na kama mmoja kalishwa chuma. Ni mapema sana chombo husika kueleza. Zaidi ni wote waliobaki wale vyuma. Hamna mtu tanzania anaweza kupoteza watu wasijulikane walipo zaidi ya system. Subirini mtakuja kuniambia hapa. Hawa ni wauza unga na wamekamatwa.
Mkuu mimi siongezi neno ila zingekua zile debate za shule ningekaa nyuma yako na support your motion
 
Wameenda sauth hao kwa lugha ya huku mtaani wameenda kwa mkaburu South Africa 🇿🇦
 
Hili sio suala la kipaumbele kwa mamlaka za CCM
 
Umo umo mkuu,
Hata sikusoma hiyo habri hiyo sura nilitambua t ..
Shughuli zake tatanishi sana ..
Hawa wapo sehemu salama tu wanaendelea kuvisaidia vyombo husika
Shughuli gani mkuu tunatamani kujua japo kidogo.
 
Back
Top Bottom