Dar: Vurugu zatokea kwenye Kikao cha Baraza la Madiwani Jijini Dar cha kuamua hatma ya Meya wa Dar, Isaya Mwita

Katika hawa wananomshambulia huyu kijana wapo viongozi wa sasa awamu hii na mojawapo hivi sasa ni waziri katika serikali ya jiwe. Inaonekana sifa ya viongozi wengi awamu hii ni ukatili, ufojaji, uropokaji, ulimbukeni na ushamba. Watanzania pia inaonekana tumeridhika kuongozwa na watu aina hiyo la sivyo tungeshachukua hatua za awali za kuwaondoa..
 
Wadau Sasa binafsi nimeelewa ni kwanini ilitumika nguvu kubwa kwenye uchaguzi was serikali za mitaa.

Sasa hebu tujiulize ikiwa madiwani wanataka kutoana macho hadharani, je huko tuendako kwenye uchaguzi mkuu nini kitatokea? Niombe tu, wote kwa pamoja tusaidiane kuliombea taifa letu.
 
Tatizo tumezijadili sana siasa na kuzifanya ziwe juu ya taifa.
 
Labda ungeanza kujifunza kuandika kwanza kabla kulijali Taifa, nafikiri ni muhimu zaidi kwako.
 
Wenzenu wanatafuta pesa ya uchaguzi Meya alikuwa kikwazo hv kama mtu hayupo tena yupo nje ya nchi wameweza kufoj jina na saini yake unadhan watashindwa kufanya lolote?hao wameshapoteza ushawishi na hlo chama chakavu co tena chama cha Siasa n kikundi fulan hv kinachoweza kufanya lolote huku kikilindwa na dola

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
Your browser is not able to display this video.


Jr[emoji769]
 
.
Your browser is not able to display this video.


Jr[emoji769]
 
Mbona maelezo hayajanyoka, nini kinafichwa?
Any way, haya ni maelezo ya upande moja, tusubiri upande mwingine. Lakini kwenye taarifa ya vyombo vya habari wameonyesha live wakipiga kura kwa kusimama na waliopiga walikuwa 16.
Sasa kwa nini kuwe na forgery kwenye register ya mahudhurio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…