Chereko tena
JF-Expert Member
- Dec 9, 2019
- 467
- 520
Jacob ni mbishi Sana,napenda style zake,mbabe anajua point of no return-
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjinga na uendelee kuwa mnyonge Hadi kizazi chako Cha 3...ccm wanafanya hayo yote ili kutuletea Wananchi Wanyonge maendeleo.
Hivyo Jacob aache kuzuia maendeleo.
Halafu na hili takataka linalotuongoza likoje lakini?Tanzania tunafanya mambo ya kipumbavu mpaka shetani anakimbia
Katika hawa wananomshambulia huyu kijana wapo viongozi wa sasa awamu hii na mojawapo hivi sasa ni waziri katika serikali ya jiwe. Inaonekana sifa ya viongozi wengi awamu hii ni ukatili, ufojaji, uropokaji, ulimbukeni na ushamba. Watanzania pia inaonekana tumeridhika kuongozwa na watu aina hiyo la sivyo tungeshachukua hatua za awali za kuwaondoa..na mauaji pia
View attachment 1317591
Walitoe lile takataka pale!Angeua tu mwakani anapewa msamaha na rais ajaye .........
Sijasema membe
Labda ungeanza kujifunza kuandika kwanza kabla kulijali Taifa, nafikiri ni muhimu zaidi kwako.