Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Diwani wa kata ya Tabata chadema Mh. Patrick Asenga akiwa amekamatwa na polisi muda huu hapa karimjee akiwa kwenye harakati za kupinga uamuzi haramu wa kumvua Umeya wa jiji la Dar es salaam Mh. Isaya Mwita, hali sio nzuri watu wamechoka kuonewa.