Kuna siku yataisha. Siku ambayo hakuna anae ijua.
The guy is not only pathetic he is dumb and dimmented.Natumai Makonda ndiye anasimamia huu mchezo, the guy is so pathetic.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Polisi walikubali kutumikia uchafu huu , je tuendelee kuliamini jeshi la polisi ?
CCM ilipanga njama za kishamba za kumng'oa meya wa jiji la D'salaam kwa vile alikataa kuunga mkono juhudi , sasa akidi imepungua wakataka kufoji jina la diwani wa cuf ambaye hakuwepo .Elezea vzr kinachoendelea si wote tunaufahamu wa kilichotokea. Tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Matako bashiteViongozi wamepewa kazi ya kujenga machinjio ya vingunguti hadi December wanaacha wanaingilia umeya
Sent using Jamii Forums mobile app