Kuchitimbo
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 439
- 366
Ukiona hivo huwenda Marwa aliweka kauzibe ili jamaa waspge pesa,chezea tzHalafu unamkuta mtu anashangilia hata huu upuuzi,sijui watanzania tumerogwa! Mkuu wa mkoa badala ya kutumia hizo nguvu kutatua kero za wana Dar Es Salaam,yeye yuko busy kuhakikisha Dar iko chini ya CCM! Sijui hata hawajui kuwa na viongozi wengi toka chama tawala ni kumuumiza kichwa Mh Raisi? Maana kazi zote anafanya yeye huku kina RC wa Dar wako busy kushughulika na CHADEMA!
Upuuzi kabisa.
Wangekuwa wenyewe ccm humo hata hizo pesa msingezisikia, wangezipiga zote kimyakimya.Polisi walikubali kutumikia uchafu huu , je tuendelee kuliamini jeshi la polisi ?
View attachment 1317106
Safii SANA kamandaNawahukuru Sana hawa Maaskari kwa Kutii kuacha kuninyang'anya Daftari la Mauzulio ambalo CCM waliweka Jina na sahihi ya Mjumbe ambaye yupo Nje ya Nchi. (Wamefoji Mahudhurio)
Nilishafikia Uamuzi wa Kumkamata Askari mmoja Nimng'ang'anie Koo ikibidi nife naye kupinga Uonevu,Dhuluma na Ukandamizaji,Muda Sijui tungekuwa wapi Wote?
Inatia hasira Sana Pale unapoona Kuna Watu wanajiona Wao wanahaki ya kufanya jinai,Kufoji na Uharamia wa kila aina,Mbaya zaidi kwa Kutumia Vyombo vya Dola.
Kilichotolea baada ya Hapa ni Kwamba CCM wakosa 2/3 ya Baraza ambayo ni Kura 17 za kumuondoa Meya madarakani,Wamepiga Kura Zao 16 tuh