Jitu la ovyo sana.Umekua ka zombie wanaonyoka ni ndugu zako kijijiniMtanyooka tu! Meya ameshapigwa chini hata gari hana na ofc haruhusiwi kuingia. Propaganda zenu huku JF hazifui dafu nendeni mkamchangie pesa za kuishi jijini sasa. Hata kwa Lissu ilikuwa hivi hivi eti hawawezi kumfukuza akapigwa chini na sasa ni kimyaa!!
Lakini ndiyo anaendelea kushinda? Vipi Bawacha mkutano wao na waandishi wa habari ulikuwaje? Mbona hujaturetea mrejesho dada!!Shetani hana rafiki
Ndugu zangu kijijini wanapigakazi tu! Hawahitaji propaganda za Chadema walishazichoka muda mrefu dada!!Jitu la ovyo sana.Umekua ka zombie wanaonyoka ni ndugu zako kijijini
Ukweli utabaki uwongo utabaki uwongo muda si mrefu utaumbuka!Amedhalilika mchana kweupe. Hii ni baada ya kufoji jina ili apate akidi ya kutosha kumuondoa Meya halali Mh Isaya Mwita ili kuisaidia CCM kwa maelekezo ya Makonda.
View attachment 1317369
View attachment 1317357
Kwanini ushindane na ukuta wakati mlango upo? vitu vingine vinatia aibu sana kwa kweli kama lengo ni kumuondoa huyu bwana katika nafasi ya meya wa jiji kwanini wasisubiri oktoba ya mwaka huu ambao ni mwaka wa uchaguzi wakamalizana nae taratibuu kuliko hivi sasa kila mtu anashangazwa na nguvu hii inayotumika.Lengo lao kupata akidi ya kumng'oa Meya halali Isaya Mwita
Kumbe Jacob naye mwanasheria!Jacob asimamie haki ila awe anaangalia mitego,maana nina uhakika kuelekea 2020 uchaguzi mkuu watamoangia mengi,huwa hawaishi kusigana nae na wameshatambua ni muumini wa weka ugoko niweke nondo!!
Jacob na wanasheria wengine wasiisgie hapo,wawafungulie mashitaka waliofoji,walau washike adabu japo tutaambiwa DPP hana haja ya kuendelea na hiyo kesi!!
Halafu kila jumapili kanisani. Na sakramenti wana pokeaTanzania tunafanya mambo ya kipumbavu mpaka shetani anakimbia
Mbaya sana mnapiga kelele watu wanawaangalia tu!Nimefurahishwa sana na njia aliyo onyesha Meya Jacob katika kikao cha Halmashauri ya Jiji la Dar kilicho kuwa kimepangwa ili "kumkomesha" Meya wa Jiji Isaya Mwita baada ya kukataa kuwa na bei ya kuunga mkono juhudi.
Akidi haikutimia kwa wajumbe wa CCM hivyo wakaamuwa kufoji jina la Diwani ambaye hayupo na kusaini.
Jacob akashtukia mchezo na kuchukua attendance register ili kuonyesha ulimwengu hila za CCM katika vikao halali unaofanywa na Mkurugenzi kushirikiana na madiwani na Wabunge wa CCM akiwemo na Mheshimiwa Zungu ambaye ni mwenyekiti wa Bunge asiyepaswa kabisa kushiriki tabia kama hizo.
Walipotaka kumdhibiti kwa kutumia polisi Boniphace alijipanga tayari kutembeza MKONO NA KUNG FU kiasi waka gwaya kumkabili.
Kinachoundwa ni kuhakikisha Meya anakuwa wa CCM kwa gharama yeyote na bila aibu.
Mtindo aliotumia Boniphace ni wakuiga maana CCM hawana aibu hivyo kuna wakati ikibidi kuwapa kichapo ni sawa tu.
Ama kweli 2020 ni #NoHateNoFear
Huna lolote we vuvuzera lofa tuNdugu zangu kijijini wanapigakazi tu! Hawahitaji propaganda za Chadema walishazichoka muda mrefu dada!!
Washamba na limbukeni utawatambua tu kwa matendo yao na maneno yao. Mmojawapo ni huyu UCD...kweli kaniki ni kaniki tu hata ikifuliwa kwa OMO ndoo nzima! Kiwe Kiswahili, King'eng'e au lugha zao za asili, utawatambua tu kwa jinsi watakavyoiharibu, eti hujaamuka! Yale yale ya fenti fodi, air hosteji...yaani ni balaa tupu! Subiri sasa wasukumiziwe madaraka yanayowazidi kimo,..!Mbona wewe hujaamuka?
Unahangaika na vitu vidogo vya typing error vitu vikubwa utaviweza?Washamba na limbukeni utawatambua tu kwa matendo yao na maneno yao. Mmojawapo ni huyu UCD...kweli kaniki ni kaniki tu hata ikifuliwa kwa OMO ndoo nzima! Kiwe Kiswahili, King'eng'e au lugha zao za asili, utawatambua tu kwa jinsi watakavyoiharibu, eti hujaamuka! Yale yale ya fenti fodi, air hosteji...yaani ni balaa tupu! Subiri sasa wasukumiziwe madaraka yanayowazidi kimo,..!
Mla naye huliwa.Binafsi nilishaapa kwa Mwenyezi Mungu, anihukumu vile atapenda, nitaua na nitakula maini na mioyo ya MaCCM siku moja ni mda tu.
Nayachukia sana haya Mashetani ya kijani.
Akidi imeshindikana