Dar: Vurugu zatokea kwenye Kikao cha Baraza la Madiwani Jijini Dar cha kuamua hatma ya Meya wa Dar, Isaya Mwita

Dar: Vurugu zatokea kwenye Kikao cha Baraza la Madiwani Jijini Dar cha kuamua hatma ya Meya wa Dar, Isaya Mwita

Mtanyooka tu! Meya ameshapigwa chini hata gari hana na ofc haruhusiwi kuingia. Propaganda zenu huku JF hazifui dafu nendeni mkamchangie pesa za kuishi jijini sasa. Hata kwa Lissu ilikuwa hivi hivi eti hawawezi kumfukuza akapigwa chini na sasa ni kimyaa!!
Jitu la ovyo sana.Umekua ka zombie wanaonyoka ni ndugu zako kijijini
 
Lengo lao kupata akidi ya kumng'oa Meya halali Isaya Mwita
Kwanini ushindane na ukuta wakati mlango upo? vitu vingine vinatia aibu sana kwa kweli kama lengo ni kumuondoa huyu bwana katika nafasi ya meya wa jiji kwanini wasisubiri oktoba ya mwaka huu ambao ni mwaka wa uchaguzi wakamalizana nae taratibuu kuliko hivi sasa kila mtu anashangazwa na nguvu hii inayotumika.
 
Jacob asimamie haki ila awe anaangalia mitego,maana nina uhakika kuelekea 2020 uchaguzi mkuu watamoangia mengi,huwa hawaishi kusigana nae na wameshatambua ni muumini wa weka ugoko niweke nondo!!

Jacob na wanasheria wengine wasiisgie hapo,wawafungulie mashitaka waliofoji,walau washike adabu japo tutaambiwa DPP hana haja ya kuendelea na hiyo kesi!!
Kumbe Jacob naye mwanasheria!
 
Nimefurahishwa sana na njia aliyo onyesha Meya Jacob katika kikao cha Halmashauri ya Jiji la Dar kilicho kuwa kimepangwa ili "kumkomesha" Meya wa Jiji Isaya Mwita baada ya kukataa kuwa na bei ya kuunga mkono juhudi.

Akidi haikutimia kwa wajumbe wa CCM hivyo wakaamuwa kufoji jina la Diwani ambaye hayupo na kusaini.

Jacob akashtukia mchezo na kuchukua attendance register ili kuonyesha ulimwengu hila za CCM katika vikao halali unaofanywa na Mkurugenzi kushirikiana na madiwani na Wabunge wa CCM akiwemo na Mheshimiwa Zungu ambaye ni mwenyekiti wa Bunge asiyepaswa kabisa kushiriki tabia kama hizo.

Walipotaka kumdhibiti kwa kutumia polisi Boniphace alijipanga tayari kutembeza MKONO NA KUNG FU kiasi waka gwaya kumkabili.

Kinachoundwa ni kuhakikisha Meya anakuwa wa CCM kwa gharama yeyote na bila aibu.

Mtindo aliotumia Boniphace ni wakuiga maana CCM hawana aibu hivyo kuna wakati ikibidi kuwapa kichapo ni sawa tu.

Ama kweli 2020 ni #NoHateNoFear
Mbaya sana mnapiga kelele watu wanawaangalia tu!
 
Mbona wewe hujaamuka?
Washamba na limbukeni utawatambua tu kwa matendo yao na maneno yao. Mmojawapo ni huyu UCD...kweli kaniki ni kaniki tu hata ikifuliwa kwa OMO ndoo nzima! Kiwe Kiswahili, King'eng'e au lugha zao za asili, utawatambua tu kwa jinsi watakavyoiharibu, eti hujaamuka! Yale yale ya fenti fodi, air hosteji...yaani ni balaa tupu! Subiri sasa wasukumiziwe madaraka yanayowazidi kimo,..!
 
Washamba na limbukeni utawatambua tu kwa matendo yao na maneno yao. Mmojawapo ni huyu UCD...kweli kaniki ni kaniki tu hata ikifuliwa kwa OMO ndoo nzima! Kiwe Kiswahili, King'eng'e au lugha zao za asili, utawatambua tu kwa jinsi watakavyoiharibu, eti hujaamuka! Yale yale ya fenti fodi, air hosteji...yaani ni balaa tupu! Subiri sasa wasukumiziwe madaraka yanayowazidi kimo,..!
Unahangaika na vitu vidogo vya typing error vitu vikubwa utaviweza?
 
Binafsi nilishaapa kwa Mwenyezi Mungu, anihukumu vile atapenda, nitaua na nitakula maini na mioyo ya MaCCM siku moja ni mda tu.
Nayachukia sana haya Mashetani ya kijani.
 
Kufoji ni sifa moja ya kuwa mwana CCM!
na mauaji pia
2183704_IMG_1183.jpg
 
Back
Top Bottom