Dar: Vurugu zatokea kwenye Kikao cha Baraza la Madiwani Jijini Dar cha kuamua hatma ya Meya wa Dar, Isaya Mwita

Hii ni hatari kwa viongozi wote wa kuteuliwa mkoani Dar kuwa mabingwa wa kufoji...mara huyu kafoji vyeti, mwingine kafoji majina lakini cha ajabu wanadunda tu. Viongozi wanaochaguliwa na wananchi msikubali katu kila siku kudhalilishwa na na hawa washamba na limbukeni. Amkeni wakazi wa Dar, hali kama hii hamwezi kuiruhusu iendelee. Kuna siku mtaamka mtakuta wamefoji hadi haki zenu na usalama wenu…ebo!
 
Upinzani watafute namna nyingine kwani kwa sasa hawana mbinu ya kuweza kushinda hizi dhuluma wanazofanyiwa au vinginevyo, wa-suspend kujihusisha na siasa huku wakitafakari the way forward.
 
Shetani hajawahi kumshinda MUNGU hata siku 1 na hatowahi...!
 
Upinzani watafute namna nyingine kwani kwa sasa hawana mbinu ya kuweza kushinda hizi dhuluma wanazofanyiwa au vinginevyo, wa-suspend kujihusisha na siasa huku wakitafakari the way forward.
Sasa Chauma na Jahazi asilia atakuja kusema hali ya siasa ni sawa kabisa na hawana shida kabisa [emoji3][emoji3]

Anyways.

Kila mtu ashinde mechi zake!
 
Hii ni hatari kwa viongozi wote wa kuteuliwa mkoani Dar kuwa mabingwa wa kufoji...mara huyu kafoji vyeti, mwingine kafoji majina lakini cha ajabu wanadunda tu. Viongozi wanaochaguliwa na wananchi msikubali katu kila siku kudhalilishwa na na hawa washamba na limbukeni. Amkeni wakazi wa Dar, hali kama hii hamwezi kuiruhusu iendelee. Kuna siku mtaamka mtakuta wamefoji hadi haki zenu na usalama wenu…ebo!
Mkuu Heri ya mwaka mpya ikufikie huko uliko
 
Sasa Chauma na Jahazi asilia atakuja kusema hali ya siasa ni sawa kabisa na hawana shida kabisa [emoji3][emoji3]

Anyways.

Kila mtu ashinde mechi zake!
Chauma wanajitambua, sijui hao Jahazi.
 
This is too much and too shameful

Jr[emoji769]
FB_IMG_1574277425198.jpg
 
Back
Top Bottom