Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwentyekit DR. (chemistry na mathematics) PhD kama kweliHivi hiki Chama kina Mwenyekiti? Ni nani?
Kina Katibu Mkuu? Ni nani?
Wanajua kinachoendelea au wameacha kazi kwa wapiga debe wao wana subiri lmapato jioni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana justify ujinga wao... ati amechelewesha miradi ya maendeleo hovyoooooThis is too much and too shameful
Jr[emoji769]
Sasa Chauma na Jahazi asilia atakuja kusema hali ya siasa ni sawa kabisa na hawana shida kabisa [emoji3][emoji3]Upinzani watafute namna nyingine kwani kwa sasa hawana mbinu ya kuweza kushinda hizi dhuluma wanazofanyiwa au vinginevyo, wa-suspend kujihusisha na siasa huku wakitafakari the way forward.
Aaa!! Wapi?!Mhh kang'olewa?
Hahaha atakuwa nani sasa maana Makonda ni mkuu wa mkoa tayari?!Kwa serikali hii ya awamu ya tano, msishangae Mkurugenzi kupanda cheo muda wowote kuanzia sasa.
Alhaji Tapeli Zungu ni tapeli la kariakoo tuYaani hata Zungu ana shiriki hii haramu?
Mkuu Heri ya mwaka mpya ikufikie huko ulikoHii ni hatari kwa viongozi wote wa kuteuliwa mkoani Dar kuwa mabingwa wa kufoji...mara huyu kafoji vyeti, mwingine kafoji majina lakini cha ajabu wanadunda tu. Viongozi wanaochaguliwa na wananchi msikubali katu kila siku kudhalilishwa na na hawa washamba na limbukeni. Amkeni wakazi wa Dar, hali kama hii hamwezi kuiruhusu iendelee. Kuna siku mtaamka mtakuta wamefoji hadi haki zenu na usalama wenu…ebo!
Chauma wanajitambua, sijui hao Jahazi.Sasa Chauma na Jahazi asilia atakuja kusema hali ya siasa ni sawa kabisa na hawana shida kabisa [emoji3][emoji3]
Anyways.
Kila mtu ashinde mechi zake!
This is too much and too shameful
Jr[emoji769]