Mackanackyyy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2019
- 2,338
- 5,271
MaCCM majinga sana!Amedhalilika mchana kweupe. Hii ni baada ya kufoji jina ili apate akidi ya kutosha kumuondoa Meya halali Mh Isaya Mwita ili kuisaidia CCM kwa maelekezo ya Makonda.
View attachment 1317369
View attachment 1317357