Dar: Wabunge 19 wa Viti Maalum waliovuliwa uwanachama na CHADEMA, Kuongea na Wanahabari

Status
Not open for further replies.
Ni mbwa kabisa,
Hayo mapungufu ya chama,huwa yanasemwa mtu akishafukuzwa chamani,tumeyazoea,
Chama kitabaki na nguvu tu,aliondoka,Warid kabulu,aksondoka Slaa,aksondoka Zito,sembuse Hawa wadangaji
Ndo ujue saccos imeshaparaganyika.
 
Mbona hakuna geni hapo? maana tulishayasikia kutoka kwa waunga juhudi wengi so hilo lisikupe shida...ni habari ya muda tu!...

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Naona umekopi na kupaste toka kwa baba yako Kigogo kule twita! Hahahah..

 
Kwani Kigogo anasemaje....maana habari za uhakika duniani kote zinatoka kwa huyu mwamba
 
Zimebaki porojo case closed.
 
Hapo watakuwa wapumbavu.

Kama wanaweza kufika kwenye press mapema hivi, walishindwa vipi kwenda kujitetea kamati kuu?

Anyways.... mpaka sasa wao sio wanachama wa CHADEMA, press conference haitabadilisha hilo.
 
Baraka zinatolewa kwa mdomo,umeitwa hukuja utalalamikaje kama hukusikilizwa?Walitakiwa wayatoe hao yote kabla
 
Wajinga tu kama wajinga wengine hao wana Nuka mda huu
 
Yatafichuka maovu mengi sana ya chadema mauaji na mipango yote ya hila manake mdee aliaminika sana ni wazi pia alishirikishwa mengi
Siyo rahisi kujua kila kitu maana yule ni mwanamke na wanawake wengi hawanaga uwezo wa kukaa na jambo moyoni
 
Mme kuwa Chadema miaka mingi tu, mmetamani kuiongoza Nchi yote ilihal hamuwezi kuwa manage dada zetu waelewa 19 tu! Je ni lazima kila ugomvi wenu mihusishe CCM?! Huwezi kuihusisha CCM wewe ukabaki salama, kilini madhaifu yenu kwanza.
 
Press hata Slaa na washenzi wengine wote wa aina yao walikwishafanya, So Wafanye tu
Ni kweli ilipofikia CDM hata CCM hakuamini. CCM 2020 inatembea na Kura zilizopigwa kwenye mabegi? Hawaamini tena kama wanaweza kushinda kihalali.! Ni wazi hata vijijini CDM imshapenya. Halima umefanya kazi kubwa lakini umeshindwa kuvumilia. Nenda.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…